Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Ukomae kimawazo hearly, proof unaitoa wapi, wauaji ndio watawala wa dunia,tunakupa clues, utaamua mwenyewe kama ni ukweli ama la, ma dokta walikataa kusaini death certificate ya Michael Jackson huyo mlizika2008. Baada ya vipimo kufanyika na limits siye yeye
Mkuu Nipo pamoja sana na hzi movements zenu "" pia nataka uelewe kwamba "" na mimi nitakuwa miongoni mwa wale wanaolisubiri jumba lenu litakalo jengwa hapa Tanzania kama kweli mnampango huo "" najua wazi kuhusu " uharamia na ujangili aliofanyiwa na anaoendelea kufanyiwa MTU mweusi ""... lakini kuhusu hilo la MJ kwamba alikuwa siye MJ halisi aliyekufa " 2009 ..kwakweli nitakuwa mtu wa mwisho duniani kuliamini hilo "".. hata hivyo hilp haliwezi kuwa sababu ya kunifanya niivue imani yangu kwenu ""... nitahesabu tu kwamba mliteleza ...maana hakuna ambaye nimkamilifu ""...
 
Proof maana yake nn kwa kiswahili, mfano kabla ya Copernicus wengi waliamini kuwa dunia ndio centre ya universe lkn Copernicus alikuja na "proof" za kimahesabu na logic lkn baadae galileo kwa experiment pia ilionyesha kuwa dunia sio center hii ni "proof" , sasa mi naamini madai mnayosema hapa mmeyafanyia tafiti nahitaji "proof" kutoka kwenye hizo kwenye hizo findings zenu vinginevyo haya yanabaki kuwa masimulizi tu.
kwa mfano hoja yetu kuu ni binadamu wa kwanza alikuwa mweusi, you prove to us other wise, pili misingi ya dini iliwekwa na mtu mweusi,na tatu taasisi ya taaluma ama academia imedanganya kuhusu mambo haya na inaendelea kufanya hivyo, sas a proof gani unataka mambo yako hadharani☺☺☺☺
tuambie wewe sasa binadamu wa kwanza alikuwa mzungu
 
Mkuu Nipo pamoja sana na hzi movements zenu "" pia nataka uelewe kwamba "" na mimi nitakuwa miongoni mwa wale wanaolisubiri jumba lenu litakalo jengwa hapa Tanzania kama kweli mnampango huo "" najua wazi kuhusu " uharamia na ujangili aliofanyiwa na anaoendelea kufanyiwa MTU mweusi ""... lakini kuhusu hilo la MJ kwamba alikuwa siye MJ halisi aliyekufa " 2009 ..kwakweli nitakuwa mtu wa mwisho duniani kuliamini hilo "".. hata hivyo hilp haliwezi kuwa sababu ya kunifanya niivue imani yangu kwenu ""... nitahesabu tu kwamba mliteleza ...maana hakuna ambaye nimkamilifu ""...
Pole, hilo dogo, yako makubwa zaidi ya hayo yanaendelea kufanyika, ushahidi wa kuuliwa kwa michael bado tunaendelea kuuleta
 
kuhusu MJ kuuwawa hilo likowazi "" .... lakini napinga kwamba MJ hakuuwawa 1984 ... hilo hapana aisee... means yule Mj Aliyeuwawa 2009 hakuwa yeye "" ...hapo ndio ambapo napapinga mie "" kama mnaushahidi ya kini zaidi ya maneno tu mliyoyaongea basi tuleteeni hapa.
...but napenda watu wafahamu kuwa na unga mkono hizi movements za kumtaka mtu mweusi ajitambue na atoke utumwani ""...
.
 
Five days after Michael's death, TMZ reported that the late music icon was not the biological father of any of his three children, nor was Debbie Rowe the mother of the two kids to which she gave birth. According to sources, neither Michael's sperm nor Rowe's eggs were used for the embryos that became Prince and Paris. Sources claim Blanket was conceived by a surrogate who did not know she was carrying the King of Pop's baby. Michael's lawyer picked Blanket up from the hospital and delivered him to Michael, reported TMZ. Blanket's mother is rumored to be a Mexican nurse named Helena, according to the Mirror.

Curiously enough, in the midst of a wrongful death lawsuit against AEG Live, Michael's mother, Katherine Jackson, fought the court to prevent it from hearing evidence about the conception of Jackson's children. Weird, no?

Read More: The weirdest stories about Michael Jackson's kids
 
Unajua kuhusu tundu lisu, haya tupe ushahidi
 
kwahiyo fantasia huu ndio ushahidi wenyewe ""!?
 
kuhusu MJ kuuwawa hilo likowazi "" .... lakini napinga kwamba MJ hakuuwawa 1984 ... hilo hapana aisee... means yule Mj Aliyeuwawa 2009 hakuwa yeye "" ...hapo ndio ambapo napapinga mie "" kama mnaushahidi ya kini zaidi ya maneno tu mliyoyaongea basi tuleteeni hapa.
...but napenda watu wafahamu kuwa na unga mkono hizi movements za kumtaka mtu mweusi ajitambue na atoke utumwani ""...
.
unajua kuhusu sokoine, haya tupe ushahidi
ushahidi sio ushahidi
 
hahaha Fantasia "" wewe unaakili nyingi sana bwana " acha hizo " ...wapi mahali ambapo nimesema kwamba najua kuhusu tundu lissu ".. au wataka kunilisha maneno"" ili tu upate balance hiyo " concept yenu ya kumuhusu MJ ...
Hapana, Kun a mambo hayana ushahidi kwa means hiyo, lakini ni kweli ushahidi is overrated, sio kigezo kubatilisha
 
Tusaidie, baba ya watoto hawa ni nani?
ukweli anaujua Debby Rowe mwenyewe "" but hilo haliwezi kuhalalisha kwamba "" .eti mj " alikufa 1984 na yule aliyekufa 2009 hakuwa mwenyewe" hali halalishi hata kidogo "" kati Yetu ninani Mwenye Uhakika " wa kuwa MJ alikuwa ana nguvu za uzazi "" ... tunajua kweli kuwa wazungu na waarabu hawatupendi " kama kweli waliweza kuwaasi mababu zetu "" unadhani walishindwa vipi kumuhasi MJ Na kumsababishia kukosa uzazi "...mimi nadhani hiyo kesi ya Watoto wake ilipaswa kutazamwa kwa jicho hili"" na sio eti kwamba Michael jackson hakuwa mwenyewe "".. Aiseee nitakuwa wa mwisho duniani kuamini
 
kuhusu MJ kuuwawa hilo likowazi "" .... lakini napinga kwamba MJ hakuuwawa 1984 ... hilo hapana aisee... means yule Mj Aliyeuwawa 2009 hakuwa yeye "" ...hapo ndio ambapo napapinga mie "" kama mnaushahidi ya kini zaidi ya maneno tu mliyoyaongea basi tuleteeni hapa.
...but napenda watu wafahamu kuwa na unga mkono hizi movements za kumtaka mtu mweusi ajitambue na atoke utumwani ""...
.
Hatubishani, tunapishana tu kufikia hoja ya msingi
 
ukweli anaujua Debby Rowe mwenyewe "" but hilo haliwezi kuhalalisha kwamba "" .eti mj " alikufa 1984 na yule aliyekufa 2009 hakuwa mwenyewe" hali halalishi hata kidogo "" kati Yetu ninani Mwenye Uhakika " wa kuwa MJ alikuwa ana nguvu za uzazi "" ... tunajua kweli kuwa wazungu na waarabu hawatupendi " kama kweli waliweza kuwaasi mababu zetu "" unadhani walishindwa vipi kumuhasi MJ Na kumsababishia kukosa uzazi "...
Hatujamaliza, tutaendelea kuleta, mjadala so unaendelea????
 
Back
Top Bottom