mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
PointImeandikwa na wayahudi, Mungu aliandika lini???? Ulimwona wakati alipoandika?
Hatuabudu mizimu, bali tunatambua uwepo wao na nafasi yao katika ulimwengu wa Roho, Ibrahimu, isaka na yakobo, yote ni mizimu, na hata Yagashya aliwatambua na kuwaheshimu, ya kwenu nyie watakatifu, ya kwetu site ndio mashetani????? Tunatambua uwepo wa Mungu mmoja wa kweli, jina lake ni AMEN-RAAKumbe unajua kuna mtu anaitwa YESU KRISTO?? Sishangai hilo jina unalomwita sababu anamajina mengi tu, JESUS, YESU, JEZUS, GESU, יֵשׁוּעַ ,يسوع, 耶稣, Ιησούς, EASHOA n.k.
Sasa kama unamjua YESU KRISTO iweje basi unang'ang'ania kuabudu "mizimu" ambayo ni "mapepo"???
Hata kisayansi tuko vizuri tukiamua.....Waafrica wakiamka, ni hatari.....ulaya itazama
Ni pm sasa hvi nikupe maelekezoNa Mimi MSI nisahau
Hebu ngoja nikuulize swali dogo tu ndugu yangu hearly hivi ni nani mbunifu wa MICROSOFT hapa duniani?wewe unauhakika " UPI kuwa hizo mbao ziliandikwa na Mungu "" kuna ambaye alimshuhudia " Musa akikabidhiwa hizo mbao na mungu "" kama hakuna " tukisema kuwa hicho ni kisa cha kutunga tutakuwa tunaongopa "".... kwanni mungu awape " mamlaka binaadamu "" wamtangazie dini yake " wakati yeye mwenyewe anakiri kuwa binaadamu hao ni wadhaifu "" ...neno dhaifu lina nyanja pana "" yaweza udhaifu wakutokuwa wakweli "" udhaifu wakutoelewa jambo wanapoambiwa au kufundishwa "" udhaifu wa afya bora " udhaifu wa kukosa upendo " na utu " etc ..... sasa aliwezaje kumpa mamlaka "" mwanadamu ya kumtangazia dini yake "" ilahli anajua fika miongoni mwao kuna wenye udhaifu wa sifa ya kutokuwa wakweli "" Hivi kweli alikuwa haoni kuwa kwa mantiki ya udhaifu huo "" kuna hatari ya maneno yake kufikishwa ndivyo sivyo kwa vizazi na vizazi " "tokana na sifa anayoielezea kuwa binaadamu ni wadhaifu ""...
AMEN RAA ndiye Amun Ra mkuu nitaku PM kwa majadiliano zaidiHatuabudu mizimu, bali tunatambua uwepo wao na nafasi yao katika ulimwengu wa Roho, Ibrahimu, isaka na yakobo, yote ni mizimu, na hata Yagashya aliwatambua na kuwaheshimu, ya kwenu nyie watakatifu, ya kwetu site ndio mashetani????? Tunatambua uwepo wa Mungu mmoja wa kweli, jina lake ni AMEN-RAA
AHAN AHASTA MAHAN HATEKET, ANU MENTUKEHET
Wala sio umaskini, ni makufuli tuliyo fungiwa vichwani, uchawi mkali sana tuliologezewa, yahitaji maombi maalumu makali sanaHata kisayansi tuko vizuri tukiamua.....
Tatizo umaskini.
Karibu sana tutapeana taratibu, Mimi ndio nashughulikia kanda ya Africa mashariki, na Sasa Niko Africa kusiniAMEN RAA ndiye Amun Ra mkuu nitaku PM kwa majadiliano zaidi
mkuu nakupm lakini inagomaUnapoingia kwenye ulimwengu wa roho, hali ya mwafirika ni uchawi wa hali ya juu' kabisa, ni makufuli kabisa yametundikwa vichwani, huvunji ni laana kubwa, ni lazima ukutane na waalimu sahihi, makuhani nyabinghi, wakufanyie DUAT MAALUMU, NDIPO UTAFUNGULIWA
Aisee kumbe kazi ipoNdugu haya si masihara, Wala mambo ya mchezo, tumefanya maombi Kuna wakati pepo wachafu wamewatoka watu Kama vivuli vyeusi, kama mapopo na panya
Imeandikwa hivi; "lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi Injili yoyote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri na alaaniwe". WAGALATIA 1:8Hatuabudu mizimu, bali tunatambua uwepo wao na nafasi yao katika ulimwengu wa Roho, Ibrahimu, isaka na yakobo, yote ni mizimu, na hata Yagashya aliwatambua na kuwaheshimu, ya kwenu nyie watakatifu, ya kwetu site ndio mashetani????? Tunatambua uwepo wa Mungu mmoja wa kweli, jina lake ni AMEN-RAA
AHAN AHASTA MAHAN HATEKET, ANU MENTUKEHET
Alaaaa kumbe "Karibu sana tutapeana taratibu, Mimi ndio nashughulikia kanda ya Africa mashariki, na Sasa Niko Africa kusini
YESU KRISTO ni spesho sababu yeye hakutokana na wanadamu bali alikuja duniani kutoka kwa MUNGU na kabla MUNGU hajaiumba dunia au ulimwengu YESU KRISTO alikuwa pamoja na BWANA MUNGU.Kwa mujibu wa maandiko wewe unayoamini Watu wote ni wana Mungu sasa kipi spesho hapo Yesu mpka umwite yeye pekee ndio mwana wa Mungu
Hebu ngoja nikuulize swali dogo tu, Bill Gates ndiye mbunifu wa MICROSOFT, sasa hebu niambie wakati anaibuni na kuitengeneza hii program wewe hukuwepo wala hukumwona, umesoma tu kwenye vitabu kuwa Bill Gates ndiyo mwanzilishi wa MICROSOFT na unaamini hivyo na kukubali. Sasa iweje unaamini sana kazi za Wanadamu kwa kusoma tu, lakini hutaki kuamini kazi za MUNGU kwa kusoma pia???bill gate "" haya leta hoja yako ""
Mkuu hebu tufafanulie kidogo,sawa yesu hata kama ni black au mweusi haiondoi utakatifu wake.Pepo maana yake ni Roho, Yagashya(Yesu) hakuacha ukiristo, mliutengeneza wenyewe, aliacha Imani, na mambo mengi aliyosema hayakuandikwa yote, ukiristo ni politics za utawala, nyinyi mnaabudu, pepo jeupe tengenezo la wanadamu, na Yagashya aliyaona yote haya na kukemea, aliwajua wayahudi ni kizazi Cha ibilisi, kweli tunayo sisi, pole sana ndugu
tunajaribu kukukaribisha private hatuwezi, hebu cheki setting zakoumeelewa hata ulichokiandika lakini ""!?
Hiyo tutazungumza kwenye uzi wakeMkuu hebu tufafanulie kidogo,sawa yesu hata kama ni black au mweusi haiondoi utakatifu wake.
Huyo yesu unayemzungumzia wewe ndo Yule aliyezaliwa na bikira,akateswa,akafa na kufufuka??
Mnakaribishana private?tunajaribu kukukaribisha private hatuwezi, hebu cheki setting zako