Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Ngoja nikupe simulizi refu la mfano labda utaelewa kupitia hilo kuona kile mnacho maanisha......

Ni sawa na watu ambao wapo safarini lakini kwa bahati Mbaya

Basi walilotumia kusafiria likapata hitilafu katikati ya Mbuga na ni Usiku

Hofu ikatanda kati yao_na wenye hekima kati yao wakatoa ushauri kwa watu wote kutojaribu kutoka nje maana ni usiku

Kwa kuhofia ugumu wa kutoa msaada kwa mtu anayeweza kudhurika na hayawani mwitu hata na watu wabaya kama majangiri.

Halafu wakiwa katikati ya usiku wanaona kama kuna ishara ya taa za gari zikimulika karibu yao.

Wanajawa na shauku.........!!??

Kukawa na mpasuko kati yao wengine wakidhani yawezekana ikawa ni gari inayoweza wapatia msaada..!

Na wengine wakihofu kuwa yawezekana ikawa ni Gari ya watu wabaya..! wenye nia mbaya nao

Lakini wakiwa katikati ya maulizo hayo.! Wanaona kuna baadhi ya watu wakiwakabili wakitokea upande ule ambao walihisi uwepo wa Gari.

Baadhi wakapatwa na hofu kulingana na shuku yao kuhusu watu wabaya na kuanza kijihami

Na wengine wakawa wakiwatuliza wenzao kulingana na muelekeo wao wa kuhisi kuwa yawezekana ni watu wa msaada..

wakasemezana;
"Ngoja na watukaribie na tutajua kama kweli ni watu wenye nia njema nasi ama La"

Lakini wakiwa katikati ya hali hiyo baadhi wakahoji kwamba

"Tuliona kama ishara ya gari..! Lakini mbona hawa wanakuja kwa miguu.!? Kweli wanaweza wakawa ni watu wa msaada".!?

Wakaendelea wakisema "hakikisheni milango ya gari imefungwa barabara na madirisha ya gari pia, na Taa na zizimwe wasije wakatuhesabu na wakatukabili kirahisi..Na kama wakihitaji kuwasiliana nasi tutatumia Upenyo wa dirishani na watakao semezana nao ni wanaume Tu".

Wale watu_kweli wakakaribia lile Gari na kutoa salamu kwa uchangamfu Tu 'za saa izi ndugu wajameni'....watu kimya.

"Hivi ni kweli hamuitaji Msaada.!? Mbona twawasalimu lakini Hamjibu Mna tatizo Gani.!?

Wakaendelea
"Kama manahitaji msaada basi na shukeni Garini Mwenu na Tuongozane Twende Tukapande gari yetu ya Uhakika na imara na Tunawahakikishia mtafika kwa wakati.. kuliko kukaa hapa usiku kucha bila msaada na hatari hizi".

Hapo Mmoja wa kwenye gari akashindwa kujizuia_akahoji. "ikiwa kweli mnataka kutupatia msaada kwanini msingeileta gari yenu karibu nasi ili tuwe na uhakika wa mnayoyasema"..!?

Ngoja niishie hapa usije ukachoka kuisoma na kuimalizia..ila ukitaka niendelee nitaendelea








Katika hadithi yako, sioni chochote kihusianacho na mada yetu
 
Michael Jackson aliuliwa, mbona inajulikana, huna macho????
mkuu nafahamu hzo tetesi "" kuwa aliuliwa "" lakini sifahamu kwamba aliuliwa kwenye ile ajali aliyoipataga " akiwa stejini baada ya kuangukiwa na Bango LA Pepsi lililolipuka "".... " means yule MJ aliyekufa 2009 siye halisi "" !? hapo ndio Nipo njia panda bado
 
Filamu Za ngono ukiziangalia kama mtafiti utajifunza mengi mno,kwa mfano narejea promotion ya vitendo vya usagaji na usenge, pia sasa kunaongezeka watoto wa kiume, wanaozaliwa na maumbile ya kike,na wakike wenye maumbile ya kiume, ndugu hii siyo bahati mbaya, Wala mapenzi ya mungu, bali mapenzi ya makusudi ya wanadamu
 
mkuu nafahamu hzo tetesi "" kuwa aliuliwa "" lakini sifahamu kwamba aliuliwa kwenye ile ajali aliyoipataga " akiwa stejini baada ya kuangukiwa na Bango LA Pepsi lililolipuka "".... " means yule MJ aliyekufa 2009 siye halisi "" !? hapo ndio Nipo njia panda bado
Ndio hivyo, MJ alikufa 1984
Yule feki
 
f65f553b68985b30add8f4cd184be128.jpg
e22f5e65a1f00c1936181559c97c0865.jpg
786b3d429456903a902c7b836004b982.jpg
42c8959e508795004b1497ca37935e38.jpg
fb8096dc8515a8b59e4b36398519bcf9.jpg
3ac49b86690e8832c8ce4adab8a4f4c2.jpg
f4ee8de22c8d5ebd6b03e2c82c80b561.jpg
96fbfd242e63ccbbafd06c2fa5755e1e.jpg
 
Back
Top Bottom