geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 2,042
- 2,370
Ukweli utajulikana tu karne hii.Ni sahihi, kutokuwepo taswira ya Muhammad ni agenda ya makusudi kuficha ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli utajulikana tu karne hii.Ni sahihi, kutokuwepo taswira ya Muhammad ni agenda ya makusudi kuficha ukweli
Mkuu kuna hili andiko ni refu lakini miniwie radhi, nia ni kujifunza tusome kwa umakini then tataona ni taifa gani hivi leo lina ishi kwenye dhiki hii.Njia ya kweli ni ipi mkuu?blackstarline
Hivi hkn sehemu alipoelezewa hapo kdg? Km ilivyo Masiah ? Maana nimesoma humu kuwa Masiah ameelezewa kuwa na nywele za sufu,ngozi ya shaba iliyosuguliwa ( sikumbuki ktk biblia mstari upi)Ni sahihi, kutokuwepo taswira ya Muhammad ni agenda ya makusudi kuficha ukweli
watu mbona wametunza imani na miungu yao, wachina na wahindi mfano mdogo,na wako vizuri tuuuMkuu kuna hili andiko ni refu lakini miniwie radhi, nia ni kujifunza tusome kwa umakini then tataona ni taifa gani hivi leo lina ishi kwenye dhiki hii.
13 Bwana atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya Bwana, Mungu wako, nikuagizayo hivi leo, kuyaangalia na kufanya;
14 msipokengeuka katika maneno niwaamuruyo leo kwa lo lote, kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto, kwa kuifuata miungu mingine na kuitumikia.
15 Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.
16 Utalaaniwa mjini, utalaaniwa na mashambani.
17 Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.
18 Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo,
20 Bwana atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.
21 Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
22 Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.
23 Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
24 Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.
25 Bwana atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.
26 Na mzoga wako utakuwa chakula cha ndege wote wa angani, na wanyama wote wa duniani, pasiwe na mtu wa kuwafukuza.
27 Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, na kwa bawasiri, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa.
28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni;
29 utakwenda kwa kupapasa-papasa mchana, kama apapasavyo kipofu gizani, wala hufanikiwi katika njia zako; nawe sikuzote utaonewa na kutekwa nyara, wala hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.
30 Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.
31 Ng'ombe wako atachinjwa mbele ya macho yako, usile nyama yake; utanyang'anywa punda wako mbele ya uso wako kwa jeuri, usirudishiwe; kondoo zako watapewa adui zako, usipate mtu wa kukuokoa.
32 Wanao na binti zako litapewa taifa lingine, na macho yako yataangalia, na kuzimia kwa kuwatamani mchana kutwa; wala hapatakuwa na kitu katika uwezo wa mkono wako.
33 Matunda ya nchi yako, na taabu yako yote, vitaliwa na taifa usilolijua; utaonewa tu, na kupondwa chini daima;
34 hata uwe mwenye wazimu kwa yaonwayo na macho yako, utakayoyaona.
35 Bwana atakupiga magoti na miguu kwa jipu lililo zito, usilopata kupozwa, tokea wayo wa mguu mpaka utosi wa kichwa.
36 Bwana atakupeleka wewe, na mfalme wako utakayemweka juu yako, kwa taifa usilolijua wewe wala baba zako; nawe huko utatumikia miungu mingine ya miti na mawe.
37 Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza Bwana.
38 Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.
39 Utapanda mizabibu na kuitengeza, wala hutakunywa katika divai yake, wala kuichuma kwani italiwa na mabuu.
40 Utakuwa na mizeituni katika mipaka yako yote usijipake mafuta yake; kwa kuwa mzeituni wako utapukutika.
41 Utazaa wana na binti, lakini hawatakuwa wako wewe; kwa sababu watakwenda utumwani.
42 Miti yako yote, na mazao ya nchi yako, nzige watakuwa nayo.
43 Mgeni aliye kati yako atazidi kupaa juu yako; nawe utazidi kushuka chini.
44 Yeye atakukopesha, wala wewe usimkopeshe; yeye atakuwa ni kichwa, wewe utakuwa mkia.
45 Na laana hizi zote zitakujilia juu yako, zitakuandama na kukupata, hata uangamizwe, kwa kuwa hukuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, kushika maagizo yake na amri zake alizokuagiza;
46 nazo zitakuwa juu yako kwa ishara na ajabu, na juu ya uzao wako milele;
47 kwa kuwa hukumtumikia Bwana, Mungu wako, kwa furaha na moyo wa kushukuru, kwa ajili ya ule wingi wa vitu vyote;
48 kwa hiyo utawatumikia adui zako atakaowaleta Bwana juu yako, kwa njaa, na kwa kiu, na kwa uchi, na kwa uhitaji wa vitu vyote; naye atakuvika kongwa la chuma shingoni mwako, hata atakapokwisha kukuangamiza.
49 Bwana atakuletea taifa juu yako kutoka mbali, kutoka ncha ya dunia, kama arukavyo tai; taifa usiloufahamu ulimi wake;
50 taifa lenye uso mkali, ambalo haliangalii uso wa mzee, wala halipendelei kijana;
51 naye atakula uzao wa ng'ombe wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako mpaka utakapokwisha kuangamizwa; wala hatakuachia nafaka, wala divai, wala mafuta, wala maongeo ya ng'ombe wako, wala wana-kondoo wako, hata atakapokwisha kukuangamiza.
52 Naye atakuhusuru katika malango yako yote, hata kuta zako ndefu, zenye maboma, ulizokuwa ukiziamini, zishuke, katika nchi yako yote kila upande; naye atakuhusuru katika malango yako yote kila upande, katika nchi yako yote aliyokupa Bwana, Mungu wako.
53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.
54 Mtu mume kati yenu aliye mwororo na laini sana, jicho lake litakuwa ovu juu ya nduguye, na juu ya mke wa kifuani mwake, na juu ya masalio ya wanawe waliosalia naye;
55 hata asitake wao mmojawapo apewe katika nyama ya wanawe atakaowala, kwa kuwa hana kitu kilichomsalia kwake; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako yote.
56 Mwanamke kati yenu aliye mwororo na laini, ambaye hangehatirisha kuweka wayo wa mguu wake nchi kwa umalidadi na ulaini, jicho lake huyu litakuwa ovu juu ya mume wa kifuani mwake, na juu ya mwanawe, na juu ya binti yake,
57 na juu ya mchanga wake atokaye katikati ya miguu yake, na juu ya wanawe atakaowazaa; kwa kuwa atawala kwa siri, kwa uhitaji wa vitu vyote; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako.
58 Kama hutaki kutunza kufanya maneno yote ya torati hii yaliyoandikwa katika kitabu hiki, upate kulicha jina hili la fahari na utisho, Bwana, MUNGU WAKO;
59 ndipo atakapofanya Bwana mapigo yako yawe ya ajabu, na mapigo ya uzao wako, mapigo makubwa kwa kweli, ya kudumu sana, na magonjwa mazito ya kudumu sana.
60 Naye atakurejezea maradhi yote ya Misri juu yako uliyokuwa ukiyaogopa, nayo yataambatana nawe.
61 Tena kila ugonjwa, na kila pigo yasiyoandikwa katika kitabu cha torati hii, atakutia nayo Bwana juu yako, hata utakapokwisha kuangamizwa.
62 Nanyi mtasalia wachache kwa hesabu, ninyi mliokuwa mfano wa nyota za mbinguni kwa wingi; kwa kuwa hukuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako.
63 Tena itakuwa, kama vile alivyokuwa akifurahi Bwana juu yenu kwa kuwatendea mema na kuwafanya kuwa wengi, ndivyo atakavyofurahi Bwana juu yenu kwa kuwapoteza na kuwaangamiza; nanyi mtanyakuliwa katika hiyo nchi mwingiayo kuimiliki.
64 Bwana atakutawanya katika mataifa yote, tokea ncha hii ya dunia hata ncha hii ya dunia; nawe huko utatumikia miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako, nayo ni miti na mawe.
65 Wala katika mataifa hayo hutapata raha iwayo yote, wala hutakuwa na kituo cha wayo wa mguu wako; lakini Bwana atakupa huko moyo wa kutetema, na macho ya kuzimia, na roho ya kudhoofika;
66 na uzima wako utakuwa na wasiwasi mbele yako; nawe utakuwa na woga usiku na mchana, wala hutaamini kamwe maisha yako;
67 asubuhi utasema, Laiti ingekuwa jioni! Na jioni utasema, Laiti ingekuwa asubuhi! Kwa kicho cha moyo wako utakavyokucha, na kuona kwa macho yako utakavyoona.
68 Bwana atakurudisha tena Misri kwa merikebu, kwa njia ambayo nilikuambia, Hutaiona tena po pote; nanyi huko mtajiuza nafsi zenu kwa adui zenu kuwa watumwa na wajakazi, wala hapana atakayewanunua.
Was prophet Muhammad black?Hivi hkn sehemu alipoelezewa hapo kdg? Km ilivyo Masiah ? Maana nimesoma humu kuwa Masiah ameelezewa kuwa na nywele za sufu,ngozi ya shaba iliyosuguliwa ( sikumbuki ktk biblia mstari upi)
Muhammad kama asinge pewa power na Roma empire angekuwa wakawaida sana. Mud kazi yake yote aliyo fanya ilikuwa ni kwa maslayi ya Roma.Muhammad alikuwa mtu wa ajabu mno, mchaji Mungu wa ajabu, yaani hasimuliki utu wake(S.A.W)
mkizungumza ..muwe mnatoaga na fact basiii""... hata fatima pia hili lina muhusu "" maana hakutoa maelezo ya kutosha kuhusu muhhamad "...Bi hemedi, hapo mi nakataa, Muhammad hakuwa mweusi
Mmmmhh go deeper basiii""...hili swala bado kinzani mnoooAnaitwa Daniel
DANIEL Jepsin, AN ARTIST, CIA and Mossad recruitee, KAMA ALIVYOKUWA BIN LADEN, NA ALBAGHDAD KIONGOZI WA ISISIL SASA
Aiseeee""... dunia kweli inamambo ...bado Nipo njia panda kuamini hili "View attachment 806225 huyu sio Michael JacksonView attachment 806227 hahaha, yaani mtu, kachongwa kabisa kama kinyago????, Huyu si o Michael Jackson
Mkuu hata mimi nilikiwa kwenye huo "" ujinga wa kuamini hayo Mapicha mapicha ya udanganyifu "" toka kwa waarabu " na " wazungu" lakini "" tangu ni mjue " mnepha" .. hayati Umkontho we Sizwe" na Fatima binti hemmed "" kisha "" nikajiongeza kwa kujiuliza maswali mengi mengi yanye tija "" mpaka leo hii ninejikuta nikiwa huru kiakili ""...Umenifanya nizidi kufikiria kwa mapana zaidi
Sawa kabisaa,ila nina imani iko siku nitafahamu ukweli kuhusiana yote haya yanayoendelea nyuma ya pazia,na kuanzia hapo nitakuwa HURU.Mkuu hata mimi nilikiwa kwenye huo "" ujinga wa kuamini hayo Mapicha mapicha ya udanganyifu "" toka kwa waarabu " na " wazungu" lakini "" tangu ni mjue " mnepha" .. hayati Umkontho we Sizwe" na Fatima binti hemmed "" kisha "" nikajiongeza kwa kujiuliza maswali mengi mengi yanye tija "" mpaka leo hii ninejikuta nikiwa huru kiakili ""...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28]Avatar Unayoitumia Ni Mwafrika Kweli?
shtuka mkuu"" watu weusi " kimsingi ndio "" watawala " wa huu ulimwengu " "..na tuna mchango mkubwa mnooo ulioweza kumsaidia muhhamad aweze kuusimika utawala wake " miaka hiyo "" wakati anahangaika kufanya movements zake za dini "" aliwatuma " .. vijana wake kwenda Ethiopia kwa mfalme NABASH "" ... hadithi zinasema kuwa aliwatuma kwenda kumsilimisha lakini hawaelezei undani wa mambo zaidi "" but jambo LA kweli nikwamba "" walikwenda kufundishwa mbinu mbali mbali za kiutawala" na kivita " ...swali la kujiuliza " muhhamad hakuwahi kusoma " alitoa wapi mbinu za kivita za kuweza " kupambana na serikali yake " mpaka akaweza kuiangusha" pasipo yeye kuwa na mbinu za kiutawala na kijeshi ""..... !!!!? ELIMIKA " JITAMBUEUmenifanya nizidi kufikiria kwa mapana zaidi
acha uwongo "" nyinyi ndio mnaotukuza wazungu kwakutojua undani wake " ..muhhamad alipewa mawazo ya kiutawala" nguvu ya siasa na kijeshi toka kwa mfalme Nabash wa Ethiopia..na hilo likowazi kabisaaaaaa""... wakati huo Ethiopia ilikuwa ni miongoni mwa nchi zenye nguvu na ushawishi wa kiutawala na kiuchumi "" ...ila haya yanafichwa hayazungumzwi ipaswavyo "" kwakuwa wanajua waafrica/watu weusi watajitambua na kuanza kudai haki zaoMuhammad kama asinge pewa power na Roma empire angekuwa wakawaida sana. Mud kazi yake yote aliyo fanya ilikuwa ni kwa maslayi ya Roma.
karibu mkuu""..Sawa kabisaa,ila nina imani iko siku nitafahamu ukweli kuhusiana yote haya yanayoendelea nyuma ya pazia,na kuanzia hapo nitakuwa HURU.
Muhammad (S.a.w),Hivi hkn sehemu alipoelezewa hapo kdg? Km ilivyo Masiah ? Maana nimesoma humu kuwa Masiah ameelezewa kuwa na nywele za sufu,ngozi ya shaba iliyosuguliwa ( sikumbuki ktk biblia mstari upi)
tena hu yo mlizika 2009 hakuwa wa kwanza, bali wa mwisho.....hii michezo ni ya kawaida kwenye mashirika ya kijasusi....tatizo lilianza Michael Jackson alipokuwa na mahusiano na binti wa kizungu kutoka ku Klux klanMmmmhh go deeper basiii""...hili swala bado kinzani mnooo
kwahiyo ndugu zake "" walikuwa hawajui ".. kuwa huyu wa 2009 "".. walikuwa hawajui kuwa "" ..alikuwa ni fake""..tena hu yo mlizika 2009 hakuwa wa kwanza, bali wa mwisho.....hii michezo ni ya kawaida kwenye mashirika ya kijasusi....tatizo lilianza Michael Jackson alipokuja na mahusiano na binti wa kizungu kutoka ku Klux klan
kubkulux Klan ndio nini ""?....so wakawa wnafanana sauti na kila " kitu "...mmhtena hu yo mlizika 2009 hakuwa wa kwanza, bali wa mwisho.....hii michezo ni ya kawaida kwenye mashirika ya kijasusi....tatizo lilianza Michael Jackson alipokuja na mahusiano na binti wa kizungu kutoka ku Klux klan