Tuamke, twendeni tukalime

Tuamke, twendeni tukalime

Wewe uko wapi mkuu? Huko ulipo kuna mvua ya kutosha?
Maana huku kwetu hata mvua nayo imekuwa ya mgao. Msimu uliopita watu hawakupata mazao ya kutosha na msimu huu nao, mvua ni za kusuasua!
Kutegemea kilimo cha msimu wa mvua ni janga kwa taifa
Ukiona mtu analeta excuse ya kwanza ya mvua basi ujue hajafanya home work ya kutosha.
Kilimo ni zaidi ya mvua na mbolea,
Ni techniques na process mbalimbali
Udongo ndio Cha kwanza .
Mfano Kuna umwagiliaji bila maji.
Inaitwa syntropic.kutumia Migomba kama matenki,(kuikata na kutandaza shambani) ya maji na Mikaratusi kama mbolea.
08_KOPP246437-768x512.jpg

Hii technologia ndio future ya kilimo.
Unavuna ndani ya miezi miwili na forever.
Gharama ni mwazo .Kwani kanuni yake namba moja ni kupanda Mazao mengi Kwa wakati mmoja na nilimo endelevu .
IMG_3576-768x768.jpg

Kilimo hiki unatengeza mbolea bure, mbao ,matunda ,nafaka
Mazingira mazuri ya kazi ,sababu kivuli ni Cha kutosha.
Mgunduzi wa hii technique ni mswiss,
Yuko Brazil ana heka kama 300 alizozibadilisha kutoka jangwa na kuwa sehemu inayotoa best Kakao duniani na Mazao mengine.
Kwa Sasa anafanya seminars na kuongea kuhusu hii system.
Screenshot_2023-07-03-03-32-21-673_com.brave.browser.jpg

Kilimo hiki jembe halitumiki sana. Bali panga au chainsaw kama una heka nyingi na mashine ya kufyeka kwani hakuna palizi .
Kanuni zake.
1. Panda Kwa mistari
2. Mistari ilekee North to South
3. Ardhi isiyo kuwa na cover/mulch/mimea ni kama kidonda kilicho wazi ,lazima kifunikwe muda wote
4. Lima mara Moja vuna forever
5. Migomba na Mikaratusi ni King & Queen,isikose shambani
6.Pruni baadhi mimea ni kongeza spidi ya ukuzaji wa Mazao ya jirani
7.Kuwa na mimea yote kuanzia inayo tambaa (mapesheni,tembele)mimea vichaka(njugu)mimea ya kivuli (kahawa)miamvuli(Nazi) ,mbao na mbolea(Mikaratusi/Eucalyptus)
8.Lima udongo na si Mazao.
Ardhi Bora Mazao Bora.
9. Huna haja mbolea kutoka nnje ya shamba
10. Usiwe mtumwa wa Shamba.
 
Kuna video moja niliona ya mmalawi mmoja, baada ya kuhitimu chuo na kukosa kazi, akaamua kuuza simu yake na kwenda kijijini, ndani ya miaka 3 akawa na mabadiliko makubwa sana, kuanzia kulima mpaka ufugaji, na ameweza pia kuwabadilisha jamii ya hapo kijijini.​
Kilimo kinataka mtaji na uvumilivu, wazazi wetu walikua wanalima kilimo cha kukidhi mahitaji yetu kama chakula, ada ya shule, mavazi, matibabu na ujenzi wa nyumba na Kwa muktadha huo walifanikiwa lkn hawakufanya maajabu sana ila Sasa sisi nyakati zimebadilika lazima tujaribu kusogea mbele kidogo ndo maana tunakua mjini lakini kilimo tunafanya.
 
Ukiona mtu analeta excuse ya kwanza ya mvua basi ujue hajafanya home work ya kutosha.
Kilimo ni zaidi ya mvua na mbolea,
Ni techniques na process mbalimbali
Udongo ndio Cha kwanza .
Mfano Kuna umwagiliaji bila maji.
Inaitwa syntropic.kutumia Migomba kama matenki,(kuikata na kutandaza shambani) ya maji na Mikaratusi kama mbolea.
View attachment 2767853
Hii technologia ndio future ya kilimo.
Unavuna ndani ya miezi miwili na forever.
Gharama ni mwazo .Kwani kanuni yake namba moja ni kupanda Mazao mengi Kwa wakati mmoja na nilimo endelevu .
View attachment 2767860
Kilimo hiki unatengeza mbolea bure, mbao ,matunda ,nafaka
Mazingira mazuri ya kazi ,sababu kivuli ni Cha kutosha.
Mgunduzi wa hii technique ni mswiss,
Yuko Brazil ana heka kama 300 alizozibadilisha kutoka jangwa na kuwa sehemu inayotoa best Kakao duniani na Mazao mengine.
Kwa Sasa anafanya seminars na kuongea kuhusu hii system.View attachment 2767864
Kilimo hiki jembe halitumiki sana. Bali panga au chainsaw kama una heka nyingi na mashine ya kufyeka kwani hakuna palizi .
Kanuni zake.
1. Panda Kwa mistari
2. Mistari ilekee North to South
3. Ardhi isiyo kuwa na cover/mulch/mimea ni kama kidonda kilicho wazi ,lazima kifunikwe muda wote
4. Lima mara Moja vuna forever
5. Migomba na Mikaratusi ni King & Queen,isikose shambani
6.Pruni baadhi mimea ni kongeza spidi ya ukuzaji wa Mazao ya jirani
7.Kuwa na mimea yote kuanzia inayo tambaa (mapesheni,tembele)mimea vichaka(njugu)mimea ya kivuli (kahawa)miamvuli(Nazi) ,mbao na mbolea(Mikaratusi/Eucalyptus)
8.Lima udongo na si Mazao.
Ardhi Bora Mazao Bora.
9. Huna haja mbolea kutoka nnje ya shamba
10. Usiwe mtumwa wa Shamba.
I see!
Ni mahali gani ndani ya nchi yetu wanafanya hicho kilimo, tukajifunze?
 
Back
Top Bottom