The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Aina ya gari ni BMW.
Kijerumani hicho
Be - em - veee
umenikumbusha mbal sana, nikiwa form 2 nyimbo zote za bmw zilikuwa [/QUOTE]umenikumbusha mbal sana, nikiwa form 2 nyimbo zote za bmw zilikuwa kichwaniBob Marley and the Wailers
Bora nimekukumbusha enzi hizo, umerudi miaka 40 nyuma labdaumenikumbusha mbal sana, nikiwa form 2 nyimbo zote za bmw zilikuwa
duu huo mwaka hata sijazaliwa mkuu, sema mabro walikuwa wapenz wa bmw na mm nikajikuta nimekuwa member, kuna bro alikuwa na daftari kama tano zote zimejaa nyimbo za bmwBora nimekukumbusha enzi hizo, umerudi miaka 40 nyuma labda
Nakumbuka Stir it up ulitoka 1973 ndio namaliza shule ya msingi