Tuandikie jinsi unavyo-tamka jina la kampuni hii ya magari

Tuandikie jinsi unavyo-tamka jina la kampuni hii ya magari

duu huo mwaka hata sijazaliwa mkuu, sema mabro walikuwa wapenz wa bmw na mm nikajikuta nimekuwa member, kuna bro alikuwa na daftari kama tano zote zimejaa nyimbo za bmw
Yaani kila wakati nilikuwa nasikiliza nyimbo zake.
Alikuwa mtunzi mzuri na nyimbo zisizochuja
Ila kila Rika wanazikubali
 
Vipi kuhusu Ndete ulikua huchomi kweli?
Hapana mkuu, ila huwez amin washkaji zangu wote walikuwa wanachoma, walinifundisha mpaka kuroll ila sikuwai jaribu, sema nao walikuwa sio wale wa mpaka uwe kama wao, wanakuambia tu kama unajisikia vuta kama vp usivute, hvo
 
Back
Top Bottom