Tuanze moja: Tuachie wafungwa wote walio magerezani na walio rumande bila masharti

Mbna yule bi.kirembwe hamjampa huu ushaur?????
 
CCM ilipotea kabisa kwa kuwakabidhi nchi watu wanaoamini katika mateso. Watu wanaofurahia mateso ya watanzania wenzao ndo wakapewa dhamana kubwa. Hawa wakatengeneza vishetani vidogo vidogo na kuvipandikiza kila mahali. Ilifikia mahali Mtanzania anafurahia mateso ya mtu anayemzidi kipato bila kujua chanzo cha kipato chake kama urithi au juhudi zake. Kila tajiri akaonekana mwizi, kamwibia nani, ni mwizi tu.
 
Hakuna ushahidi yan
 
Hawa vijana uelewa wao mdogo sana badala ya hoja wao hukimbilia matusi
 
Kuna binadamu waliyopo magerezani hawapaswi kuachiwa uraiani hata kama waliingizwa kwa bahati mbaya ni hatari sana...
 
tunaachia watakaotupa Political mileage tu itakayotufikisha 2025 kwa kishindo
 
Alikuwa ni mtu hatari sana.
A Sadist
Someone who gets pleasure from hurting or humiliating others is a sadist. Sadists feel other people's pain more than is normal. And they enjoy it. At least, they do until it is over, when they may feel bad. The popular imagination associates sadism with torturers and murderers.
 
Kesi ambazo upelelezi haukamili zaidi ya miez 6 watuhumiwa waachiwe uraiani na upelelezi uendelee huku wakiwa uraiani..

Watu wanajazana sana magerezani na rumande
 
Naunga mkono hoja. Wafungwa wote waachiwe na tuanze upya kama Taifa…. wenye kujifunza washajifunza inatosha.

Sharti liwe tu kwamba, mahakama zipo na magereza yapo na watakaokosa wataingia… wengi hawatarejea uharifu [if that].

Kama tumepata Rais wa kwanza mwanamke, mama mwenye huruma zake…. hatushindwi hili. Katiba yetu inampa mamlaka ya kumsamehe mfungwa yeyote.

Tatizo askari magereza sijui wataenda wapi![emoji87][emoji87]
 
Kuna watu wanafikiri kwamba mama anakurupuka kuachia watu

Mafaili yote yapo ikulu na mwenyewe anayaona

Ukweli unajulikana kabisa watu wengi sana wamebambikiwa kesi.

Anza kwanza kwa kutofautisha ofisi ya DPP na Rais, anayeachia 'watuhumiwa' ni DPP…. Rais husamehe wafungwa.
 
Ndiyo dikteta alikuwa anapata raha sn akiona watu wanakufa na kufungwa
 
And then enter the masochists...these are those who feel pleasure when pain is inflicted on them or when they see pain inflicted on others and sadly the number of masochists in Tanzania is astonishing!

Sadists need the presence of masochists to survive and flourish as their pleasure is seeing the agony in the faces of their prey. The sworn enemies of sadists are those that try to stop their murderous exploits.

Sadists hate it and get mad when their victim does not cry or squirm in pain but instead takes whatever he is being subjected to with courage...nothing infuriates him more and the next thing is, the victim lies motionless...dead!

The sadist derives his pleasure from his atrocities and the cries of terror emanating from his victims is like sweet music in his ears! In spite of his cruelty the sadist is basically a wicked individual who lives in fear.

The masochist on the other hand is a debilitated individual that needs help, a wasted creature that needs pity and a good-for-nothing and dysfunctional human who's no better than a walking corpse, a zombie.

In the past five years, Tanzania was in the hands of a monster, a chief sadist and and a couple of his lieutenants. Their sole mission was to inflict as much pain as they could to those who dared to challenge their actions.

Sadly too, we had lots of these masochists who not only enjoyed the pain inflicted on them but watched with pleasure the pain inflicted on others. Now that their evil sport is no more, I can understand their pain!

But we also had the courageous individuals who when the degenerate tried to inflict pain on them, they didn't cringe in pain, terror and despair but fought back and though some perished (RIP), many others survived!

Their resistance inflamed the chief sadist and his liutenants turning them to brutish beasts than humans but in the end, like any plague that afflicts humans, they are gone and Tanzanians can once again live in peace!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…