Halafu there is this thing ya uteuzi.
Sielewi ni kwa nini watu wanaona kuteuliwa na Rais ni big deal.
Sijawahi hata siku moja kuwaza kufanya kazi serikalini.
Much less, sijawahi kabisa hata kuwaza kuwa eti ukikubaliana na Rais kuhusu jambo flani, basi eti unatafuta uteuzi!
Hii nadhani inawaakisi wao [watoaji hizo tuhuma] zaidi. Nadhani wao ndo huona ni big deal kuteuliwa na Rais.
Halafu, kwa mtu aliyeanzisha mada kama hii kuupinga baadhi ya kauli za Magufuli, kuiten ni mkabila, halafu papo hapo kuambiwa natafuta uteuzi, ni matusi kwa watu wenye akili
Bomoabomoa Mwanza: Rais Magufuli omba radhi kama....