Tuanze utaratibu wa kuwekana kikaangoni hasa kwa ID maarufu

Tuanze utaratibu wa kuwekana kikaangoni hasa kwa ID maarufu

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Humu JF hasa members wa MMU kumekuwa na members wa kudumu, ambao ID zao ni maarufu sana.
Tunajuana humu JF hasa hasa. huko nje hapana na ndio maana humu watu huongea free kabisa tofauti na social network zingine.

Na kwavile kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao wanapenda kutengeneza relation humu JF, either relationship or friendship
Basi mimi natoa wazo tuanze kuwekana vikaangoni means tuwe tunachagua ID moja moja tunaiweka kikaangoni na tumuulize maswali muhusika bila kujua anaitwa nan na bila kujua sura yake, ILI KWAMBA KAMA KUNA MTU ATAPENDEZWA NAE kwa friendship or relationship aweze kuwa kachagua kwa kuona kuwa wanaendana japo hamjui jina kamili na sura yake tuuu.

Mimi napenda sana kufahamiana na watu mbali mbali japo kuwa mm kwa hili halita nigusa sana kwani nina umri mdogo sana, wengi wenu humu natakiwa kuwaamkia shikamoo kaka au dada na pia nimesoma chuo tayar, kuja kusoma tena labda siku nina familia kabisa.

Mimi natumain watu hawata danganya sifa zao, kama watapenda kujuana na GREAT THINKER wenzao.
Pia kutakuwa na limitation ya kujibu maswali kulingana na muhisika atakavo taka kujibu.

Mimi napendezwa na hii mada kwan kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao wanaingia kwenye mahusiano bila kujua tabia za wenza wao, kuwa mwenzangu anapenda kufanya nn mala kwa mala au hapendi kufanya nn ni swala la kuulizana tu japo ni ngumu kuhoji hayo mwanzoni na huku umempenda mtu tayar,
Mfano nimeshangaa kuna binti kadai anapenda urafik na wanaume but na kuna wanaume wengi wakadai hawapend kuona wapenz wao wanaurafik na wanaume wengine na anaweza kuwagombanisha, so nikutokusomana tabia tuu.

Kama unaunga mkono thread hii tupia like na quote yako.

By Suriya ki P humu JF
 
Umeshakata nyecha? Maana muda ndo unaishia huu mdogo angu
 
Back
Top Bottom