Tubadilike wakuu, tujitahidi kuacha alama

Tubadilike wakuu, tujitahidi kuacha alama

Ni kweli kabisa mkuu ila mpaka sasa kuna wengine waneacha alama mbaya au hawakuwa na significance yeyote kwenye maisha yao hadi sasa. Japo bado kuna nafasi ya kurekebisha mambo angali wapo hai.
 
Kuacha alama!!
Unamjua babu wa babu wa babu yako?? Hata kwa jina??

Ukifikiria mbali utaona hata hiyo alama haina maana sana kwako kuliko unavyodhania!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Alama waliyoiacha ni uzao wao,ambao ni baba na mama
 
Back
Top Bottom