Masseto
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 1,615
- 3,205
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha"You have to teach history or to make it" kutoka kwenye series ya sleepy hollow.
So nijukum la kila mmoja kuchagua upende upi unamfaa. Kutuachia history ama kutufundisha
Fanya maamuzi magumuHii imenigusa aisee.. nakaribia 30 sina mtoto daah [emoji52][emoji52][emoji52]
Sent using Jamii Forums mobile app
AminaMungu atujalishe mwisho mwema
Mwakajana nilifanya maamuzi magumu ikachomolewa kimya kimya daah nimekuwa na bahati mbaya sanaFanya maamuzi magumu
mkuu inabidi ubadilike kutoka ukaka uwe mbaba halisi ili mambo yaende sawa.Hata uchumi wa kati unategemea nguvu kazi kwahiyo tuchape kazi wazee
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaha usije ukaweka alama kama ya nyani . hilo nalo nenoShida sio kuacha alama...shida ni nani unashirikiana nae kuacha hiyo alama
😅😅Anataka kuleta nyeusi et sijaelewa 🤔
mkuu piga mbunye hizo kojoa mbegu hizoo acha ubahili.Hii imenigusa aisee.. nakaribia 30 sina mtoto daah [emoji52][emoji52][emoji52]
Alama waliyoiacha ni uzao wao,ambao ni baba na mamaKuacha alama!!
Unamjua babu wa babu wa babu yako?? Hata kwa jina??
Ukifikiria mbali utaona hata hiyo alama haina maana sana kwako kuliko unavyodhania!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
ha ha ha ha sababu ilikuwa ni nini?Mwakajana nilifanya maamuzi magumu ikachomolewa kimya kimya daah nimekuwa na bahati mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hukufanikiwa kupata mali,inakuwaje mkuu?Alama zinawekwa lakini kuwaachia alama ya mali watoto ni bora zaidi kuliko kuwaleta na kuwatesa na maisha magum
Sent using Jamii Forums mobile app
Umuhimu upo,kama usingekuwepo hata wewe usingekuwepo