Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

Mgosi Mbena

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
499
Reaction score
604
Wakuu,

Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu.

Gari nalotaka lenye thamani ya milion 8. Lisiwe bovu.

Mahali mwanza Jiji
 
Jf Ina mambo, mtu kajiunga mwaka jana mwez wa kumi na Moja Leo hii senior. Watu tun miaka hapa.. hivi Moderator Cookie mnatuchukuliaje wazee?
nilitaka kuangalia cheo chako wamesema umezuia watu wasiangalie😂😂😂
sasa mzee ni hilo li baba ubaya uloweka kwene profile ndo unazua tusiview profile😂
 
Back
Top Bottom