Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

Lipo jukwaa mahususi la malalamiko.

Any way Senior member na expert member wote hawalipwi.
Kijana anapambana na mm boss wake !!
muache atoe toe machozi hapa kwene uzi wangu machungu yake yaishe
 
Weka picha ya nyumba tuione boss magari yamejaa huko online au ni lazima nikupe la kwangu ninalotumia?
sasa la online la nn?
Kwani mi nakupa nyumba ya online?
 
sasa la online la nn?
Kwani mi nakupa nyumba ya online?
Hutaki gari wewe. Ukiwa serious weka nyumba hiyo ionekane, maana nyumba ya M12 inawezekana ni kiwanja tu ndo kina thamani, gari useme unataka aina gani lenye hiyo thamani ya M8, nitakapolitoa najua mwenyewe.
 
Nikupe hiyo milion 8 ununue gar?
Mkuu, Kasema anataka gari siyo pesa. Kama ushaiona hiyo nyumba Magari yapo mtaani huko kibao mazima kabisa. Nenda hapa ofisi za microfinance kuna watu wameshindwa mikopo na dhamana ni magari.
 
hata pesa sawa tu maana hii butter trade ni ngumu
Ndo rahisi zaidi. Weka details za nyumba mkuu tuone. Si upo Mwanza, naweza nisije mimi ila nikampa mtu hizo taarifa mkafanya biashara.
 
Back
Top Bottom