Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

Attachments

  • 886011DB-BD43-40FC-88A0-42AC187A0FD8.jpeg
    886011DB-BD43-40FC-88A0-42AC187A0FD8.jpeg
    947 KB · Views: 2
Mkuu fungua profile tujue huwa unapost nn??
maana hii kesi ni ngumu
mimi ni senior wako naomba heshima yangu
Mm nishasababisha vijana watano humu walikuwa wanatafuta kazi yoyote kupata kazi ya ulinzi Zanzibar. Na sasa nawafanyia mpango wakapate training za jikoni kama chef/butchery au bar. Wewe umeifanyia nn jf zaidi ya kuuza vitu vyako?
 
Hapo tumepigwa au michango yetu
Hakuna mkuu muhimu kuna wazi tu.. mm mbona nachangiaga vizuri tu hasa kwenye topic za afya ya jamii,ajira na zile za kijinsia.

Wakisema wapime quality ya mchango lazima waangalie na mada husika. Haiwezekani mada za kugegeda utoe neno la maana. Although lazima waseme vipimo vyao vikoje in terms of valid, efficiency, effective, relevance na mambo kama hayo kama sio score table. Vigezo wanavijua wao tu
 
Ila we jmaaa !!! Ungeanzisha tu uzi wq kulalamika siyo kuwaharibia wengine!
umeona nimeshatolewa sasa
 
Wakuu,

Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu.

Gari nalotaka lenye thamani ya milion 8. Lisiwe bovu.

Mahali mwanza.
Viuze kanunue sehemu nyingine
 
Back
Top Bottom