Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

Kapromote ka gari kako hata kwa kukapost
Sawa njoo tufanye exchange
Screenshot_20240507-204642~2.png
 
Aweke details za kutosha tuone kama anunuliwe ist used au run x apewe akaendeshe.
una gari?? au unamuongelea mwene gari?

Kama unagari niambie unataka nn kuona na una gari ya aina gani
 
Back
Top Bottom