Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

wacha na mm nianze kujaribu kufanya hayo mautundu kiongoz nimeipenda sana.
 
mi naomba msada wa kuifunga ku chini ya cband kwa ajili ya kupata channel za kenya na frq za kutafutia natumia receiver ya mpg4 hd.asanthen ni hv karibuni ndo nimeanza kuwa na bidii ya kujua haya mambo ya madish.
 
Nimefanikiwa kuipata euntelsat 36 ila channel nimezipata nyingi ni za china kama kuna fr za kuongezea naombeni natumia rc ya mpeg4 asanten kwa elimu hii.
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna mwenye maujuzi ya kufanya ivi Mwanza anipm tafadhali.
 
habari zenu wana JF
naomba msaada ni jinsi gani naweza kufunga LNB mbili kwenye dish dogo kama haya ya DSTV au Azam tv?
 
icheki picha yahiyo dishi LNB kunanamba za satellite zimewekwa chini kunamaelezo yake

Ubarikiwe mkuu, naomba unijuze. Je kwa mimi mwenye dishi la STARTIMES kunauwezekano wa kupata teknolojia hii. Nahitaji nipate channels za continental na kununua dish lingine napata ugumu. Msaada please.
 
habari zenu wana JF
naomba msaada ni jinsi gani naweza kufunga LNB mbili kwenye dish dogo kama haya ya DSTV au Azam tv?
  • Ndio unaweza
  • Unatakiwa uwe na LNB bracket [ mfanowake pichani ]
  • Pia uwe na fundi mzuri
 
Ubarikiwe mkuu, naomba unijuze. Je kwa mimi mwenye dishi la STARTIMES kunauwezekano wa kupata teknolojia hii. Nahitaji nipate channels za continental na kununua dish lingine napata ugumu. Msaada please.
  • Ndio inawezekana
  • Ila kwanza nunua decoder mpya yeyote ya MPEG4 yaweza kuwa ni MEDIACOM, WIZTECH, QSAT au STRONG STR
  • Sambamba na mpeg4 decoder nunua dish la ft 6
  • Karibu
 
Kwa hiyo MLM. hili dish la startimes halitatumika? maana dish nililonalo ni haya ya startimes na nataka niongezee channels za continental bila ya kutafuta dish lingine. Shukrani
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo MLM. hili dish la startimes halitatumika? maana dish nililonalo ni haya ya startimes na nataka niongezee channels za continental bila ya kutafuta dish lingine. Shukrani
  • Litatumika hilo hilo dish
  • Utabadili mwelekeo ili kupata mawimbi husika
  • Ila receiver utatafuta nyingine siyo hiyo ya startimes
 
Mwl.RCT naomba unifanyie hiyo kazi Nina dish la futi 6 na la dstv pia nini zaidi?
 
  • Litatumika hilo hilo dish
  • Utabadili mwelekeo ili kupata mawimbi husika
  • Ila receiver utatafuta nyingine siyo hiyo ya startimes

Asante sana mkuu. Najua receiver inahitajika nyingine. Je hakuna vitu vingine vinavyohitajika zaidi ya hiyo receiver maana lengo nataka niwe multipurpose i.e niwe na uwezo wa access startimes, continental na hata azam media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…