Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Mm nahitaji fundi aje anifungie nizipate, natumia king'amuzi cha continental
 
msaada namna ya kupata sport 24,na vp kuhusu c band yenye nguvu tofauti na hizi Star gold na Galf star
 
Mm nahitaji fundi aje anifungie nizipate, natumia king'amuzi cha continental
Pata kingamuzi kingine, mpeg4, ambacho sio cha kampuni, hivi bei ni kati ya tsh 95,000 hadi 165,000. Inategemea ni brand ipi.

Ninavyo nicheki kwa hii namba 0717 54 57 62
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…