Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oyaa unatmia dish size gani mkuu?
Please naomba mnisaidie frequency za press tv ya iran
Intelsat 10at 47.5° E (Europe Africa
beam)
Frequency: 12602 (TP 21 K)
FEC: ¾
Polarization: V
Symbol Rate: 27500
futi sita
mkuu haionekaniIntelsat 10at 47.5° E (Europe Africa
beam)
Frequency: 12602 (TP 21 K)
FEC: ¾
Polarization: V
Symbol Rate: 27500
mkuu haionekani
Kwa wale wanaopata 36E nasikia kuna channel zimeongezeka kwenye package ya Ting kama Clouds TV na Press.Scan TP hii na tupe majibu 12275H11200.
ngoja nione, da cloud tv? Ngoja
Watafute abudhabi sport online kununua rec`zao na unahitaji dish ya ft.9 kuwapata lakini hutowapata al jazeera(asc) sport+6-asc+10 wamehama satelite.card yao unalipia 100 usd mwaka 1.