mnogapavanu
Member
- Dec 4, 2012
- 90
- 29
Hivyo vitu ndo vyenyewe ngoja nifanye practical nitawajuza wadau wote matokeo yake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka nyondoloja na mwingine yeyote naomba kujua urefu wa nguzo inayoshika lnb ya ku kutoka kwene mduara wa lnb kubwa unapotmia dish la futi nane ili kupata sat ya Eutelsat 36A/36B @ 36° East naomba msaada kwa hlo.
kaka niko nafunga hyo ku-band ya eutelsat 36A- 36degree nimepata CCTV 9 documentary na dish promo embu nipe freq na maujanja ya kupata FTA zingine natumia media com. MFT 930 plus
jf wazima pata ujuzi kidogo nawe kama una maujanja ongeza wengi wetu tumejaza madishi nyumbani kwetu
kwakutumia mfumo huu unaweza ukapunguza. dishi 1 ft 6 unaweza kufunga LNB sita CBD-3 na KU-3 ukituli hadi CBD 4
angalia hi picha nilivyo funga hapa nyumbaniView attachment 80099
tuanze na hii chini 36.0e kwenda juu 78.5e
36.5e Euntelsat 36A-36B hapo zinapatikana za DSTV, AGAPE, ZAP, nk
57.0e NSS 12 hapo zinapatika za ZUKU, na FTA kenya
64.2e lntelsat 906 hapo za tanzania mzq nk
68.5e lntelsat 20 KU kuna za sauzi,naijelia,dini nk
68.5E lntelsat 20 CBD kuna iljzr,kihindi nk
76.5e Apstar 7
78.5e Thaicom 5
76.5e na 78.5e hizi satellite kufunga unabalansi unazipata zote
68.5e CBD na 68.5e KU zinakaa sehem moja CBD chini KU juu
kama huwezi kuchonga zipo dukani zilizo shikana cbd na ku
freq kwenye link hapo chini
78.5eThaicom5
76.5eApstar7
68.5eCBDnaKU
64.2elntelsat906
57.0eNSS-12
36.0eEutelsat36A-36B
Za Tanzania ni ITV,EATV,TBC1,STAR TV,CHNL 10,na ATN,. KENYA ipo K24,.ZAMBIA ipo Muvi tv Africa,. NIGERIA ipo EMMANUEL TV,. Nyingie ni SETANTA AFRICA,CNN,ALJAZEERA,EBRU AFRICA ya South Africa,LOVE WORLD PLUS,nk. Zote za mwanzo ni kwa MPEG4 RECEIVER. Good Luck.
mkuu, tunaomba frequency za kutafutia.
mkuu futi 8 sijaifanyia utafiti futi 6 ni 15
wandg nmejarb kutafuta signal kwene dish ft 8 cjafankiwa alieweza jaman atupe maujanja plz.
Ft nane ndo unapata kwa signal kali kidogo tumia receiver inayopokea signal haraka unaweza ukatumia frequence za cctv ndo kali then ukisha pata unaendelea kuballance
ndg kwa mujbu wa picha hapo juu degree 36 inapatkana kushoto kwa dish juu kidogo ya ile nguzo inayoshka lnb ya k24 .but eneo lote hlo nmejarb kupta na lnb bila mafanikio ngoja nitafute fr za hyo cctv nijarb tena. Natmia rcva ya mpg4 je nawezakutmia mpg2 nkapata signal halaf nikpata ndo niweke mpeg4
huwez kukomaa na mpeg 2 ukapata hzo za tz kwwenye hyo degree 36 maana me nimetumia mediacom nimepata cctv documentary ,cctv news na zingne za kuripia
Kasema mpeg4 anayo ila mpeg2 anaitumia kutaftia signal tu kwani ndo nzuri kwa kutaftia signal ni rahisi kuitumia hata asiyekua fundi
je nisimame upande gan wakat natafta signal isje nkawa na block signal mi nasimama mbele ya dish ninapotafta signal. Kiufund unatakiwa usmame wapi na ucfanye nn il usi block signal?
mkuu futi 8 sijaifanyia utafiti futi 6 ni 15