Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Asante sana Nyondoloja,nilipandisha signal nikapata K24 signal zaidi ya asilimia 70,Sayare nimepata ila inascratch sana,WBS sikupata kabisa tatizo linaweza kuwa ni nini?

ndugu kibukila wbs haipo siku nyingi waliitoa.
 
Asante sana Nyondoloja,nilipandisha signal nikapata K24 signal zaidi ya asilimia 70,Sayare nimepata ila inascratch sana,WBS sikupata kabisa tatizo linaweza kuwa ni nini?

mkuu wbs wamepunguza sana sigino
Jalibu ingiza frequency namba zoze
Symbolrate ukiziingiza unasubili unaanza kupunguza yamwisho mfano
2387-2386-2385-2384 kilahatua unasubil
 
umetupa darasa la kutosha watu kama ninyi ndo mnaotakiwa msome kwa wingi ili wengi wafaidike na elimu yenu.
 
Mkuu DSTV sio FTA kama unaujanja wa kuchakachuwa ni wewe nimeona watu wengi wanajaza dishi nyumbani kwao mfano ZUKU,DSTV,ITV inatakiwa uwe na dishi3 kwasasa ni dishi1. Fut6

kuhusu disc kunanjia 8 receiver nyingi za kisasa zinasapot MPEG2 zakizamani zinagoma.kamauna
receiver yako haisapot disc ya njia8 weka zanjia4. 2 unatowa waya 2 kwenda ndani kazi
nikuhamisha waya.

picha za FTA zipo 8 kama receiver ni MPEG4 unapata10 za DSTV , ZAP ni zaidi ya 300 zinaitaji malipo

Hapo sawa.maana diseq-switch ina njia nne tuu.na mimi nilikuwa na swali hilo hilo.lakini umenijibu.
 
Back
Top Bottom