Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nafunga LNB tisa Dish moja tu.ikiwa unahitaji nije nikuongezee hapo.
36.0E KU
57.0E KU
60.0E C
64.4E C
68.5E C
68.5E KU
72.1E C
76.5E C
78.5E C
nyondoloja kuna mtu nilimwonyesha hii yeye akasema anaweza hivi
nyondoloja kuna mtu nilimwonyesha hii yeye akasema anaweza hivi
nyondoloja kuna mtu nilimwonyesha hii yeye akasema anaweza hivi
nakubaliana na wewe kwan hii inawezekana.ningekuwa na nafasi ningeset kwanza na kuwaonyesha. Ila kwa ku2mia picha ya ndugu hapo nitaweza kuwaonyesha ni wapi unaweza funga lnbs zilizobaki. Shule imeninyima muda wa kuwa pamoja nanyi mara kwa mara
Mkuu dd hazipo una mpeg2 au 4 nikuweke fk zote hiyo ku kama hupati sigino umekosea kukata ku na kutobowa cbd ukichemuka tafuta elb iliyo shikana cbd na ku au nipigie sim
0754650073-0658650073-0787660073-0774650073
Never give up
Amesema alivyo muonyesha jama akasema anaweza kufunga
36.0e
57.0e
60.0e
64.2e
68.5e
68.5e
72.1e
76.5e
78.5e
Wewe umesema unaweza naomba utusaidie hapo kwenye color
Toka lnb ya 64.2 hadi 57.0 kunanafasi yakutosha kuweka lnb ya cbd? Naimani fundi wakufunga dishi anaelewa toka lnb ya ITV na ya KBC nafasi inayobaki kama unaweza ukaweka
Lnb nyingine tena ni ya cbd
Mkuu beam ya 60.0e dishi futi6 wakisema ufunge moja hiyohiyo unaweza ukachemka kidogo futi8
72.1 uwezekano nimkubwa kulingana na beam yake hapo juu nimesema naweza kufunga hadi
Cbd 4
nimependa unamawazo mazuli
nakushauli usiyawekee uhalisia ingia kazini ukifanikisha mwaga data
Kwenye 72.1E kuna channell gani?Nasikia ile package waliyoweka ya Kenya huwezi kuzipata kwa receiver za DVB-S/S2 kama kuna uwezekano tujulishe.
mpeg 2 mkubwa ila ile ku nimekitoa kile kimfuniko chake cheupe alaf c band nimeitoboa kwa juu baada ya hapo nikaipachika ile ku juu kile kitobo cha c band
Nipe matokeo
ndo sijazipatA ndo maana nimekulza kam nko sahihi
Mkuu ukikuta DVB-S hapo ni MPEG2 na DVB-S2 ni MPEG4
72.1 zote za kenya zinapatikana
Kbc
Eatv 5
Hertage tv
3 stone
Ntv
Ntn
Qtv
Family
Kiss tv
Sayare tv
k 24
Citizen tv
Kass tv
Gbs
Gor tv
inatakiwa receivers ya mpeg 4
2 haziingii
mkuu mimi natumia dish dogo la zuku lnb (ku) ina njia mbili njia moja natumia kwenye karisiva ka zuku na njia nyingine nimeungainisha receiver ya fta media com napata chanel tatu tu.. Kbc,family na k24 je? Kuna uwezekano wa kuziongezea zikawa nyingi zaidi? Nifundishe mkuu.
Mkuu mimi Dish langu lina LNB 1 tu lakini hakuna channel ninayopata je unaweza kunielekeza cha kufanya maana fundi aliyenifungia hiyo LNB hapatikani.
Mkuu ukikuta DVB-S hapo ni MPEG2 na DVB-S2 ni MPEG4
72.1 zote za kenya zinapatikana
Kbc
Eatv 5
Hertage tv
3 stone
Ntv
Ntn
Qtv
Family
Kiss tv
Sayare tv
k 24
Citizen tv
Kass tv
Gbs
Gor tv
inatakiwa receivers ya mpeg 4
2 haziingii
Tunduma 0754650073
Tafuta mwenyeji Kaka, uje dar utengeneze pesa. huu ni wakati wa mavuno kupitia dijito!
Mimi nilijaribu na MPEG 4 receiver lakini sikupata kama wewe unazipata nijulishe nijaribu tena.Sayere na WBS kwenye 57e zilipotea siku nyingi wewe unazipata.