chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,214
Mkuu hapo tafuta fundi
Inawezekana dishi kuyumba au lnb mbovu
Mkuu Dish langu ni kubwa hiyo LNB iliyofungwa ni mpya fundi wakati anafunga me nilikuwa sipo na alishindwa kutest kwa vile Tv ilikuwa na matatizo, nilivyorudi nilibadilisha TV nikajaribu ku- connect mwenyewe hakuna channel inayoonekana ila kwa Dish langu kubwa la LNB moja naweza kupata channel gani na ngapi?