Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Mkuu hapo tafuta fundi
Inawezekana dishi kuyumba au lnb mbovu

Mkuu Dish langu ni kubwa hiyo LNB iliyofungwa ni mpya fundi wakati anafunga me nilikuwa sipo na alishindwa kutest kwa vile Tv ilikuwa na matatizo, nilivyorudi nilibadilisha TV nikajaribu ku- connect mwenyewe hakuna channel inayoonekana ila kwa Dish langu kubwa la LNB moja naweza kupata channel gani na ngapi?
 
mpeg 2 mkubwa ila ile ku nimekitoa kile kimfuniko chake cheupe alaf c band nimeitoboa kwa juu baada ya hapo nikaipachika ile ku juu kile kitobo cha c band
Poa! Kaka takucheck kwa phone.


Toka Burton sat shop.
 
Mtoa post samahani naomba kujua kama Liverpool tv bado inapatikana kwenye degree 72 E

Toka Burton sat shop.
 
wakuu naomba nifahamishwe hapo kwenye degree na sat zake na chanel zinazopatikana sehemu husika.......mbona kama chanel inapatikana sat fulani mimi naweka sat nyingine yoyote na inapatikana..kama.kawaida..naomba nifahamishwe vizuri...
 
...vipi wadau nilipata kitu hiki toka kwa Rafiki yangu je kitakidhi Haja
Image0012-1.jpg
 
kaka,uko juu sana sana,siamin kama fut 6 laeza beba mzigo wote huo,kuna sehem nlipita hapa dar nliona dish kubwa zaid ya ft 6 limeelekezwa cjui west,limebeba lnb c na ku lukuki,sasa kama hilo lako,katika switch wafanyaje?maana naonaga ina ports 4 mkuu
 
Mkuu ukifunga unapata itv, star tv , ch10 , tbc , na nyingine za kibongo?
 
kaka mi kiasi nafaham,utafanyaje hasa pale unapofunga lnb zaid ya nne?maana najua switch ina ports 4 tu kaka
 
kaka mi kiasi nafaham,utafanyaje hasa pale unapofunga lnb zaid ya nne?maana najua switch ina ports 4 tu kaka

Unatumia diseqc ya njia 8 ila receiver za zamani hazikubali kutumia hii switch.Hakikishe receiver ina support 1.1 Diseqc ndo hii switch itaweza kutumika.Pia unaweza kupitia ukurasa wa pili kwenye hii thread kwa maelezo zaidi.
 
mkuu mamboyako haiwezi kukidhi haja huo ni mfumo wa sauth asia huko india

68.5e
74.5e
78.5e
83.e
88e
91e
100e
black zote ni india
blue bim inafika kwet hilo dishi ulikuta imefungwa wapi?
 
Hizo zipo ata kwenye mpeg2 pandisha sigino

Kama una mpeg 4
Zuku weka fk
11105h45000
11605h45000

mkuu unipe matokeo

Asante sana Nyondoloja,nilipandisha signal nikapata K24 signal zaidi ya asilimia 70,Sayare nimepata ila inascratch sana,WBS sikupata kabisa tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom