Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Mkuu nyondoloja mimi nina Strong Receiver SRT 4620II Mpeg 2, hii ilikuwa ya MyTV ina Option ya kudecode (Ina Smart Card) niliwahi kulipia MyTV baadae nikaacha. Sasa naweza kufunga kwa muundo wako hizo LNB? Na kuna namna ya kuchakachua kupata channel za malipo kwa hii njia ya Smart Card?
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa nimefunga LNB 3, CBand 2 na KU 1, na Dish dogo nimeliunganisha kwenye DiSec ya njia 4. Naweza kufanya utundu nikaongeza DiSec nyingine hapa?
 
Mkuu inawezekana kufunga huo mfumo sema u
takosa picha ambazo zipo mpeg4

Hapo kwenye blue haiwezekani mimi natowa ujanja wa kufunga dishi si kuchakachuwa
naomba unisome hivyo kama kuna mwenye huo utundu tuombe jukwa ni pana atusaidie
 
Last edited by a moderator:
jf nimetowa namba za sim kusaidiana utakapo kwama bila malipo kunawengine wamekosa usitaalabu ukiwanashida naomba piga sim usibipu au sms
 
Hivi Startimes ndo Analogia pekee ambayo haikuzimiwa mitambo na TCRA?

Maana hizo lugha zenu nimechungulia weeee king'amuzi changu but where!!!

Duh kweli niliingia chaka kama Mkapa na Radar ya Chenge! lol!
 
Kwa sasa nimefunga LNB 3, CBand 2 na KU 1, na Dish dogo nimeliunganisha kwenye DiSec ya njia 4. Naweza kufanya utundu nikaongeza DiSec nyingine hapa?

Zipo Diseq za njia nane @Kimox Kimokole Shida ni kwamba ni njia moja tu inayotoka kwenye dish kuingia kwenye receiver sasa ukiwa na Diseq mbili je utaziweka vipi kwenye receiver?
 
kama receiver yako haisapot diseq yanjia8 ukitumia2 za njia4. Kazi utakua unabadilisha waya kila dzq itaingiza waya ndani
 
Hivi Startimes ndo Analogia pekee ambayo haikuzimiwa mitambo na TCRA?

Maana hizo lugha zenu nimechungulia weeee king'amuzi changu but where!!!

Duh kweli niliingia chaka kama Mkapa na Radar ya Chenge! lol!

Mtazamo weka wazi unasemajee?
 
Kwa sasa channell nyingi kwenye 36E upande wa DSTV ni FTA ila bado najaribu kuongeza LNB ya KU kwenye upande wa Intelsat 906 ila sijafanikiwa.
 
Mimi niko kahama shinyanga naomba nipe Bei uje wewe mwenyewe umalize kazi Dish lipo la wavu ft6 jingine ft8
 
Kwa sasa channell nyingi kwenye 36E upande wa DSTV ni FTA ila bado najaribu kuongeza LNB ya KU kwenye upande wa Intelsat 906 ila sijafanikiwa.

Mkuu chanel gani nzuri zipo huko namm nitafute fundi?
 
Za Tanzania ni ITV,EATV,TBC1,STAR TV,CHNL 10,na ATN,. KENYA ipo K24,.ZAMBIA ipo Muvi tv Africa,. NIGERIA ipo EMMANUEL TV,. Nyingie ni SETANTA AFRICA,CNN,ALJAZEERA,EBRU AFRICA ya South Africa,LOVE WORLD PLUS,nk. Zote za mwanzo ni kwa MPEG4 RECEIVER. Good Luck.
 
Asante sana mkuu.
 
kaka nyondoloja na mwingine yeyote naomba kujua urefu wa nguzo inayoshika lnb ya ku kutoka kwene mduara wa lnb kubwa unapotmia dish la futi nane ili kupata sat ya Eutelsat 36A/36B @ 36° East naomba msaada kwa hlo.
 
Back
Top Bottom