Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamehamia satelite ipi mkuu
tusichoke na kuzmich Wadau mnalishana matango pori,Watafute abudhabi sport online kununua rec`zao na unahitaji dish ya ft.9 kuwapata lakini hutowapata al jazeera(asc) sport+6-asc+10 wamehama satelite.card yao unalipia 100 usd mwaka 1.
tusichoke na kuzmich Wadau mnalishana matango pori,
Abudhabi yanini kwa sasa?
haina mapango tena, mambo yote yamehamia aljazeera na hadi sasa hatujajua hali itakuwaje , ila mpaka tarehe moja mwezi wa nane ndio wansema watatoa mwongozo wa mambo yatakuwa vipi.
so ushahuri tu, kuweni wapole mpaka tarehe moja mwezi wa nane.
MKUU NASHUKURU KWA USHAURI WAKO,ILA NAHITAJI KUJUA JINSI YA KUPATA KING'AMUZI CHA KULIPIA CHA TENSPORT NA MALIPO YAKE YANAKUA VIPI NA WAPI PA KULIPIA,Asante.
Aisee Maarko sina uzowefu na hiyo kitu TENSPORTS lakini labda niulize unatafuta nini huko kwenye kingamuzi cha TENSPORTS ?MKUU NASHUKURU KWA USHAURI WAKO,ILA NAHITAJI KUJUA JINSI YA KUPATA KING'AMUZI CHA KULIPIA CHA TENSPORT NA MALIPO YAKE YANAKUA VIPI NA WAPI PA KULIPIA,Asante.
hv nimejaribu kutafuta signal ya kwenye apstar kwenye 76.5E sijafanikiwa na hata ya eutelsat 36 nayo sijafanikiwa kupata signal sasa je urefu wa kutoka kwenye centre lnb mpaka kwenye eutelsat 36 ni cm ngapi?
Mkuu naomba msaada nawezaje kuipata citizen tv,itv,star tv kwa kutumia c band dish la futi 8 ?
Je kwenye dish la offset unaweza kufunga lnb zaidi ya moja? How.
kwenye king'amuzi chao kuna channel ya michezo inayitwa Tensport nimeiona kwa watu wanaotumia cable inaonyesha michzo mingi sana.