Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

b1052cf773a79391a0ff4fe1c910e716.jpg
 
wamehamia satelite ipi mkuu

Watafute abudhabi sport online kununua rec`zao na unahitaji dish ya ft.9 kuwapata lakini hutowapata al jazeera(asc) sport+6-asc+10 wamehama satelite.card yao unalipia 100 usd mwaka 1.
tusichoke na kuzmich Wadau mnalishana matango pori,
Abudhabi yanini kwa sasa?
haina mapango tena, mambo yote yamehamia aljazeera na hadi sasa hatujajua hali itakuwaje , ila mpaka tarehe moja mwezi wa nane ndio wansema watatoa mwongozo wa mambo yatakuwa vipi.
so ushahuri tu, kuweni wapole mpaka tarehe moja mwezi wa nane.
 
Last edited by a moderator:

MKUU NASHUKURU KWA USHAURI WAKO,ILA NAHITAJI KUJUA JINSI YA KUPATA KING'AMUZI CHA KULIPIA CHA TENSPORT NA MALIPO YAKE YANAKUA VIPI NA WAPI PA KULIPIA,Asante.
 
MKUU NASHUKURU KWA USHAURI WAKO,ILA NAHITAJI KUJUA JINSI YA KUPATA KING'AMUZI CHA KULIPIA CHA TENSPORT NA MALIPO YAKE YANAKUA VIPI NA WAPI PA KULIPIA,Asante.

we tafuta rcva inayosapoti cccam ac na ununue ac hiyo na uiinstall.
 
Heko JF eti bado wanasiasa wanashadadia ifungwe,me nlikuwa bogus nowdays hata kujiamini najiamini
 
MKUU NASHUKURU KWA USHAURI WAKO,ILA NAHITAJI KUJUA JINSI YA KUPATA KING'AMUZI CHA KULIPIA CHA TENSPORT NA MALIPO YAKE YANAKUA VIPI NA WAPI PA KULIPIA,Asante.
Aisee Maarko sina uzowefu na hiyo kitu TENSPORTS lakini labda niulize unatafuta nini huko kwenye kingamuzi cha TENSPORTS ?
 
Last edited by a moderator:
Rwanda tv inapatikana katika nyuzi 22 west satellite ni ses 22
 
Unaweza lnbf ya kwanza ya cband funga nyuzi 64 e kupata local channel na cband ya pili funga chini yake nyuzi 62e kupata citizen na kama receiver yako ni mpeg 4 utaona ntv
 
Asante mkuu,huwezi kuzipata kwa lnb 1? Ya c band?mie natumia receiver ya strong napata local chanel itv,chanel ten na hiyo citizen.star tv inakataa na tbc pia inakataa,kumbuka hizi zote ni vertical mzee
 
Kama unapata local na citizen kwa kutumia lnbf 1 ndo maana tbc na star zinakata sababu fundi alijalibu kubalance nyuzi 64 na 62 kwa pamoja hii inafanya signal kupungua kila upande nakushauli ufunge lnbf mbili kupata signal ya uhakika.
 
hv nimejaribu kutafuta signal ya kwenye apstar kwenye 76.5E sijafanikiwa na hata ya eutelsat 36 nayo sijafanikiwa kupata signal sasa je urefu wa kutoka kwenye centre lnb mpaka kwenye eutelsat 36 ni cm ngapi?
 
mimi nliambiwa ni cm 30 kutoka kweny bolt inayoshikilia reli na scallaring...lakini nlichemka hebu na wewe jaribu..
 
ngoja nitajaribu harafu nitaleta feedback na vipi kuhusu apstar 76.5 na thaicom 78.5 ni channel ipi au frequency ipi ni rahisi kutumia kutafuta signal?
 
Mkuu naomba msaada nawezaje kuipata citizen tv,itv,star tv kwa kutumia c band dish la futi 8 ?

kupata citizen & itv ukikomaa unaweza sema citizen & star tv ni ishu ngum dishi futi 6 dishi futi 8 inawezekana sema usumbufu ni star tv sigino imeshuka sana kwa sasa
 
kwenye king'amuzi chao kuna channel ya michezo inayitwa Tensport nimeiona kwa watu wanaotumia cable inaonyesha michzo mingi sana.

hawana decoder. Nunua cccam account utawapata
 
Back
Top Bottom