Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

jamani mimi jana nimejaribu kutafuta signal kwenye eutelsat 36 kwa muda mrefu sana bado nimeshindwa na nikatafuta pia kwenye apstar 76.5 east bado nayo sikufanikiwa na hata thaicom 78.5E nayo sijafanikiwa ambazo zimekubali ni ya intelsat 20 KU na C band kwa kuzi join pamoja mnanishauri nini jamani
 
dish.jpg
hivi hii hapa kwetu inawezekana hii picha nimeipata kwenye forum ya wa Nigeria???
 
mbona signal ni ile ile walichofanya ni kurekebisha audio setup, mfano kwa sasa ukiweka left,right,stereo kote unapata sauti pia ukiwa una search na redio zote zinzingia direct
 
Msaada jinsi ya kufunga lbn ya Ku-band,maana nimejaribu bila mafanikio...receiva yangu ni mediacom910+new na dish futi6...kwenye c band napata itv na ndugu zake ,ch10,mozambique,imaan,star tv ,tbc
 
mimi nimeunganisha c-band na ku ya intelsat 20 pamoja na intelsat 906 zinashika vizuri tu
sasa kila nikijaribu ku set eutelsat 36 kwa frequency ya 11843 H 27500 inagoma kwa wale waliopata hebu tupeane ujuzi IMG00297.jpg
 
Eti jamani naombeni kuuliza je decoder ya zuku na ya ting za dish dogo je nina weza kutumia kwenye chanel za kawaida satelite tofauti tofauti kama intelsat 20 na intelsat 906
 
Waungwana hivi madish ya futi 6 ndio haya kama ya dstv na zuku?

Je kama ndio haya kama ya dstv na zuku ninaweza kutumia kwenye risiva za media com kupata chanel na fta?
 
Waungwana hivi madish ya futi 6 ndio haya kama ya dstv na zuku?

Je kama ndio haya kama ya dstv na zuku ninaweza kutumia kwenye risiva za media com kupata chanel na fta?

Si mtaalam sana wa vipimo lkn nikupe pa kuanzia ft sita ni madishi makubwa cm 180 au zaid kidogo kwa kipenyo(diameter) hayo ya zuku ni madogo cm 90 au zaidi kidogo,futi sita ndio watz wengi waliyonayo unaweza kuangalia kwa majirani au mahala pengine. Hayo km ya dstv na zuku unaweza kutumia kupata channel za fta mfano ukielekeza 8W kwa kutumia ku band utapata channel nyingi za uarabuni,kwa uelewa zaid pitia huo uzi juu kwa makini
 
  • Thanks
Reactions: ilu
kwa wale wanaohitaji frequency ya CITIZEN TV kwenye INTELSAT 20 KU BAND 68.5 EAST ni 12551 V 3100
 
Wale walioingia chimbo kutafiti kama dish la wavu la 9ft linaweza kufungwa Lnb nyingi, mtujuze kilichojili ili na sisi tucopy mautalaamu.
 
naomba unisaidie mtaalamu, ni mstari wa namba ngapi (vistari vyenye namba vilivyo ndani ya lnb) unapotakiwa kufikisha LNB gulf star 666 model kwenye round ya dishi pale juu? iko horizontal na dish ni futi tano. Maana signal strength ni 0 na quality inacheza 60 hivi
 
mimi nimeunganisha c-band na ku ya intelsat 20 pamoja na intelsat 906 zinashika vizuri tu
sasa kila nikijaribu ku set eutelsat 36 kwa frequency ya 11843 H 27500 inagoma kwa wale waliopata hebu tupeane ujuzi View attachment 110037


mkuu kazi kubwa umeifanya iliyobaki haizidi dakika 15 singing tafutia frequency 12246H27500
 
Back
Top Bottom