lfmthebest
Member
- Aug 13, 2013
- 9
- 0
jamani mimi jana nimejaribu kutafuta signal kwenye eutelsat 36 kwa muda mrefu sana bado nimeshindwa na nikatafuta pia kwenye apstar 76.5 east bado nayo sikufanikiwa na hata thaicom 78.5E nayo sijafanikiwa ambazo zimekubali ni ya intelsat 20 KU na C band kwa kuzi join pamoja mnanishauri nini jamani

