Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Kaka mambo vp!Naomba namna ya kuipata tbc1 na citizen!nnashka zote isipokuwa tbc1
 
Tbc1 wametutupa sis wengine wa vjjni ambao hatuwezi kutumia vingamuz.au wamejitoa kwenye satelite! hv inamiliwa na nani vile.......
 
Mkuu naomba msaada nawezaje kuipata citizen tv,itv,star tv kwa kutumia c band dish la futi 8 ?

kupata hizo channel kama una dish ya ft 8 ni rahisi sana. Tia 3644 h 8545 ukisha pata itv eatv na hapo unapanda kidogo nusu cm alafu una blindscan utapata karibu channel 15. Ni position iko east
 
Tusaidien namna ya kuseti kwenye receiver maana tunasumbuka tuwekee hata attachment tujifunze zaid wakubwa.
 
naombeni msaada jinsi ya kufunga lnb arabsat 20c, 16A E na Amos 5c katika dish moja
 
Wakubwa mmezamia wapi maproffecinal tunawategemea.Kwaelim yenu nimeweza kuipata Al jezira, cctv na yadin moja tuongezeeni frequency ambazo nilahisi kutumia kutafutia channel kwenye KU BAND.Mungu awatangulie mwone hampotezi ila mnaongezewa.
 
mpeg 4 ya zuku naweza tumia kwenye east degree ya 72.1 ambapo zipo chanel zote za kenya na EATV ya tanzania naombeni jibu tafadhali wadau
 
duuh mazee wa2 mnajua unfortunately the kountry inatuangusha...i realy appreciate big up
 
zinaweza kuwa NSS 12@ 57E,INTELSAT 906 @ 64E,PASC 7/10 @ 68.5E,au THAICOM 5 @ 78.5E, au hata INTELSAT 17 @ 66E
 
Back
Top Bottom