Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TBC wapo kama kawaida ila walibadili SR-3072Tbc1 wametutupa sis wengine wa vjjni ambao hatuwezi kutumia vingamuz.au wamejitoa kwenye satelite! hv inamiliwa na nani vile.......
Kaka mambo vp!Naomba namna ya kuipata tbc1 na citizen!nnashka zote isipokuwa tbc1
samahani wakuu.. channel za rwanda zinapatikana kwenye satelite ipi?
Mkuu naomba msaada nawezaje kuipata citizen tv,itv,star tv kwa kutumia c band dish la futi 8 ?
naombeni msaada jinsi ya kufunga lnb arabsat 20c, 16A E na Amos 5c katika dish moja
kaka,mi naweza kukusaidia kufunga lnb 3 za c band,au wasemaje
zinaweza kuwa NSS 12@ 57E,INTELSAT 906 @ 64E,PASC 7/10 @ 68.5E,au THAICOM 5 @ 78.5E, au hata INTELSAT 17 @ 66E