nyondoloja
Senior Member
- Nov 10, 2010
- 190
- 52
- Thread starter
- #241
DISH size gani mkuu linaweza funga lnb zote hizo??
futi 6 nimefunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DISH size gani mkuu linaweza funga lnb zote hizo??
futi 6 nimefunga
jf wazima pata ujuzi kidogo nawe kama una maujanja ongeza wengi wetu tumejaza madishi nyumbani kwetu
kwakutumia mfumo huu unaweza ukapunguza. dishi 1 ft 6 unaweza kufunga LNB sita CBD-3 na KU-3 ukituli hadi CBD 4
angalia hi picha nilivyo funga hapa nyumbaniView attachment 80099
tuanze na hii chini 36.0e kwenda juu 78.5e
36.5e Euntelsat 36A-36B hapo zinapatikana za DSTV, AGAPE, ZAP, nk
57.0e NSS 12 hapo zinapatika za ZUKU, na FTA kenya
64.2e lntelsat 906 hapo za tanzania mzq nk
68.5e lntelsat 20 KU kuna za sauzi,naijelia,dini nk
68.5E lntelsat 20 CBD kuna iljzr,kihindi nk
76.5e Apstar 7
78.5e Thaicom 5
76.5e na 78.5e hizi satellite kufunga unabalansi unazipata zote
68.5e CBD na 68.5e KU zinakaa sehem moja CBD chini KU juu
kama huwezi kuchonga zipo dukani zilizo shikana cbd na ku
freq kwenye link hapo chini
78.5eThaicom5
76.5eApstar7
68.5eCBDnaKU
64.2elntelsat906
57.0eNSS-12
36.0eEutelsat36A-36B
mkuu mie nipo Dar sasa waweza kunisaidia kuja nifungia au kunielekeza fundi wa kunifungia
naomba namba yako
namba zipo
mkuu minipo tunduma kwa dar nitakufahamisha
Nimejarib kusearch kwa hizo frq tbc haipatkani. Nifanyeje??
Please naomba mnisaidie frequency za press tv ya iran
Mawimbi yako unachukulia satellite gani? Muhimu tujue ili tutambue namna ya kukusaidiaWakubwa mmezamia wapi maproffecinal tunawategemea.Kwaelim yenu nimeweza kuipata Al jezira, cctv na yadin moja tuongezeeni frequency ambazo nilahisi kutumia kutafutia channel kwenye KU BAND.Mungu awatangulie mwone hampotezi ila mnaongezewa.
View attachment 109355
hivi hii hapa kwetu inawezekana hii picha nimeipata kwenye forum ya wa Nigeria???
Kwa ninavyojua, ds^v wanapatikana katika Eutelsat iliyo nyuzi 36.0 E, na hiyo kwenye picha ya Nyondoloja ni 36.6 (kwa mujibu wa lebo aliyoweka), kwa hio huenda akapata channels tofauti. Aje afafanueKaka mi umenimaliza kwa degree 36 hiyo dstv tu,vipi? Signal inakuwa na ukubwa gani? Hapo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums