Kwa kifupi wageni a.ka watalii wengi wanaokwenda Zanzibari ni wanaenda kupumzika siyo kutalii, hivyo hili wazo wako ni zuri sana.
Na endapo kama itawezekana uwanja la ndege upanuliwe ili ndege kubwa ziwezwe kutua direct na kuwepo hizo five star ✨ hotels kama ulivyosema.
Hili wazo linaweza kuonekana la masikini kwa sababu haupo kwenye mnyororo wa thamani wa system ya CCM ila kimantiki lina lipa.
Mwenye uthubutu hayupo na angekuwepo au akija mbona fasta tu, kesho unasikia kelele za watanganyika "ooh mbona pesa yote inapelekwa mafia, ooh mafia kuna nini kule, itakuwa white elephant project 😂!.