Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar

Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar

Wananchi wanataka urekebishwe unufaishe wote somo litawafikia
Wananchi gani zaidi ya wanasiasa, hasa wasaka vyeo. Mwananchi aliyoko Namanyere huko yeye haelewi chochote kuhusu hizo mnazoziita kero za muungano yeye anachojua dunia ni moja na Afrika ni moja maswala ya mipaka ya wakoloni wala hajushughulishi nayo.
 
Haiwezi kuizidi Zanzibar kwa sababu Zanzibar ni brand kubwa kwa sas huko ulimwenguni kote.
ivi unajua kwamba Zanzibar ni maarufu huko duniani kuliko hata Tanzania?

..Mafia hata wakipata 30% ya idadi ya watalii wanaokwenda Znz itakuwa ni faida kubwa. Wakati umefika kwa Mafia kuwa promoted kama kivutio cha utalii.
 
Mafia na visiwa vilio jirani vinaweza vikakuza utalii na maendeleo ya wananchi wa maeneo hayo.
1.Zao la nazi nyingi zinatokea kisiwa cha Mafia
2.Kisiwa cha Songo Songa uchimbaji wa gesi asilia..
3.Fungu Mbaraka ni fungu pana maarufu kwa uvuvi wa samaki.
4.Visiwa vidogo jirani Nyuni na vinginevyo.
5.Bandari ya Kilwa,Kilwa kivinje na Kilwa kisiwani ni Historical site kubwa.

Mkuu fungu Mbaraka ni ya Zanzibar
 
Back
Top Bottom