Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar

Tuiamshe na kuikumbusha serikali

i
Haijalishi tutafanya hivyo mara ngapi bado serikali ya ccm watabaki kwenye usingizi wa pono, wanachojua ni kutengeneza kodi na tozo kuendelea kuwafinya watanganyika ili kughalamia maisha yao ya anasa lakini hawajui kuna sehemu za kimkakati kama hizo ambako wanaweza kuwekeza fedha na ikarudisha faida kubwa, siku tukipata kiongozi anae jitambua na ambae ni mzalendo wa kweli nchi itabadilika ghafla
 
Hiki kisiwa kikiboreshwa vema kinaweza kuwa mbadala wa Zanzibar japo hakiwezi kuwa kama Zanzibar.

Kina fukwe kubwa na nzuri, Kina utalii wa majini Utalii wa mashambani ni muhimu tujivunie na kuboresha chetu
Je kisiwa cha ukerewe?
 
Mafia na visiwa vilio jirani vinaweza vikakuza utalii na maendeleo ya wananchi wa maeneo hayo.
1.Zao la nazi nyingi zinatokea kisiwa cha Mafia
2.Kisiwa cha Songo Songa uchimbaji wa gesi asilia..
3.Fungu Mbaraka ni fungu pana maarufu kwa uvuvi wa samaki.
4.Visiwa vidogo jirani Nyuni na vinginevyo.
5.Bandari ya Kilwa,Kilwa kivinje na Kilwa kisiwani ni Historical site kubwa.
 
Mafia haiwezi kuifikia zanzibar hata siku moja!
Kwa tuliyokaa huko na kukizunguka kisiwa na vijivisiwa vyote ndiyo tunasema

Ova
 
Haiwezi kuizidi Zanzibar kwa sababu Zanzibar ni brand kubwa kwa sas huko ulimwenguni kote.
ivi unajua kwamba Zanzibar ni maarufu huko duniani kuliko hata Tanzania?
Slow but sure, itafikia huko!
WHY MAFIA ISLAND HAS BEEN DUMPED?
ITAFUTWE NAMNA, KIPANGWE, KWA RAMANI SAFI, HISTORICAL SITE, ZIBORESHWE, CLEAN AIRPORT, CLEAN ROADS, CLEAN APARTMENT, CLEAN HOTELS & BEACHES!
 
Mafia haiwezi kuifikia zanzibar hata siku moja!
Kwa tuliyokaa huko na kukizunguka kisiwa na vijivisiwa vyote ndiyo tunasema

Ova
Haiwezi kuwa kama zanzibar, lakini tuelekee huko kwenye kuboresha, wakiona hayo watakaa kimyaaa!, utashangaa!
 
Uwanja wa ndege wa sasa wa mafia bombadier inatua ni wa kuongeza kidogo tu
Kisiwa hiki kina fukwe nzuri sana hebu serikali wakitazame
Haiwezi kuizidi Zanzibar kwa sababu Zanzibar ni brand kubwa kwa sas huko ulimwenguni kote.
ivi unajua kwamba Zanzibar ni maarufu huko duniani kuliko hata Tanzania?
nani kasema iizidi zanzbar?
hakika umenena washtue wenye mamlaka
 
kwanza jina lenyewe mafia,hakika litakaa kimafia zaidi
 
Haya madini sana. Kama kuna mtu humu anaweza sogeza hii taarifa mbelembele afanye ivo.
 
Inasikitisha sana, Tanganyika hatujali mali zetu ipasavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…