Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar

Hiki kisiwa kikiboreshwa vema kinaweza kuwa mbadala wa Zanzibar japo hakiwezi kuwa kama Zanzibar.

Kina fukwe kubwa na nzuri, Kina utalii wa majini Utalii wa mashambani ni muhimu tujivunie na kuboresha chetu
Mkuu picha Ni muhimu Sana
 
Wananchi wanataka urekebishwe unufaishe wote somo litawafikia
Wananchi gani zaidi ya wanasiasa, hasa wasaka vyeo. Mwananchi aliyoko Namanyere huko yeye haelewi chochote kuhusu hizo mnazoziita kero za muungano yeye anachojua dunia ni moja na Afrika ni moja maswala ya mipaka ya wakoloni wala hajushughulishi nayo.
 
Haiwezi kuizidi Zanzibar kwa sababu Zanzibar ni brand kubwa kwa sas huko ulimwenguni kote.
ivi unajua kwamba Zanzibar ni maarufu huko duniani kuliko hata Tanzania?

..Mafia hata wakipata 30% ya idadi ya watalii wanaokwenda Znz itakuwa ni faida kubwa. Wakati umefika kwa Mafia kuwa promoted kama kivutio cha utalii.
 

Mkuu fungu Mbaraka ni ya Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…