Kwa waziri Nchemba badala ya kung'ang'ania tozo kwenye miamala, ungeachana na miamala badala yake ukakaa chini na makampuni ya simu na wataalamu wa IT tukatengeneza mfumo wa QR codes ambazo zitakuwa zinanunuliwa TRA na kuwa printed kwenye documents. Mfano ukienda kuhakiki nakala ya vyeti unalipia na inapitishwa kwenye kifaa maalumu na QR codes inakuwa printed na hiyo QR inaweza soma hata kwenye apps ya simu.
Hizi QR codes zinaweza saidia kuhakiki vyeti na matumizi mengine badala ya stamp duties.
Hizi QR codes zinaweza saidia kuhakiki vyeti na matumizi mengine badala ya stamp duties.