Tuboreshe umoja na mshikamano kwenye vijiji tulivyotoka

Tuboreshe umoja na mshikamano kwenye vijiji tulivyotoka

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Wote tuliomo humu, tukaanzishe timu za mipira kwenye vijiji tulivyotoka.

Lengo likiwa ni kuwaboreshea mazingira ya umoja na mshikamano, na pia iwe kama mchango wako katika jamii ulikotoka.

Kama unaweza kufanya mengi zaidi, itakuwa vizuri zaidi.

Sio tu, wasubiri mpaka ufe ndio wakusaidie kukuzika.

Unaweza kufadhili mashindano ya mbuzi, ng'ombe, kuku n.k au Kuwanunulia jezi, mipira, kuwaboreshea viwanja n.k

Na kuyafanya haya yote, si lazima mpaka uwe kiongozi; bali ni katika hali ya kujali tu.

tm.JPG
 
Back
Top Bottom