Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Zoezi linatakiwa liwe endelevuniliwahi kutoa pesa yangu mfukoni kuwanunulia jezi na mipira timu ya kitaani kwangu
Exactly 💯Zoezi linatakiwa liwe endelevu
Watumie jezi sasa, au unasubiri mpaka uwe kiongozi? 😀Exactly 💯
Tusitafute visingizio, ebu tuwapelekee jezi na mpira kwanza, tuone kama watatuloga.Wataturoga, hata kurudi na gari tu tunaogopa.
Yaani nifanye majaribio ya kurogwa, aloo hapana mkuu.Tusitafute visingizio, ebu tuwapelekee jezi na mpira kwanza, tuone kama watatuloga.
Jaribu kwanza, ukirogwa tutakuombea; wengi wanakuwa wachoyo kwa kisingizio cha kurogwa.Yaani nifanye majaribio ya kurogwa, aloo hapana mkuu.
Wapambane tu kivyao.
Umewapelekea mipira mingapi?Sawa sawa
Kifo hakijaribuwiJaribu kwanza, ukirogwa tutakuombea; wengi wanakuwa wachoyo kwa kisingizio cha kurogwa.
View attachment 3453012
Duh, kijijini kwetu huku! Kazi kweli kweli!Jaribu kwanza, ukirogwa tutakuombea; wengi wanakuwa wachoyo kwa kisingizio cha kurogwa.
View attachment 3453012
Kijijini n noma, kuna hila sanaWataturoga, hata kurudi na gari tu tunaogopa.
Waboreshee viwanja vya mpiraDuh, kijijini kwetu huku! Kazi kweli kweli!
TuwawezesheKijijini n noma, kuna hila sana
Ipo sana hio!
Wafanyie jambo ili uweke alama
Niliwanyishaga Siku moja mashindano ya Yanga na Simba! Yanga akaibuka mshindi!Waboreshee viwanja vya mpira