Sidhani kama Willi atakubali kirahisi hivyo. Na hapo ndio naiona Kenya ikiingia kwenye mzozo tena.Rao mjanja sana saiv yeye na Uhunye ni pete na kidole.Namuonea huruma sana Willi alijua yeye ndo next president namuona Rao akiingia ikulu mwakani.
BBI ikikamilika baasi Willi hana chake trust meSidhani kama Willi atakubali kirahisi hivyo. Na hapo ndio naiona Kenya ikiingia kwenye mzozo tena.
RAO anachuzwa tu hapoSidhani kama Willi atakubali kirahisi hivyo. Na hapo ndio naiona Kenya ikiingia kwenye mzozo tena.
Huzijui siasa za Kenya wewe. Urais Ni Kati ya Central (Kikuyus) na Rift Valley (Kalenjins). RAO aliishia u-PM (wa kutengenezwa).BBI ikikamilika baasi Willi hana chake trust me
Hakunaga election violence nyingine Kenya. It's obvious next president atatoka Rift Valley (possibly Gideon Moi) na running mate kutoka (Central).Sioni usalama wa Kenya 2022. Dalili ya mvua ni mawingu.