Tuburudike na siasa za Kenya Uhuru vs Ruto, Siasa hata misibani Rais wa nchi na Amiri Jeshi anagombezwa hadharani naye yupo hapo hapo

Tuburudike na siasa za Kenya Uhuru vs Ruto, Siasa hata misibani Rais wa nchi na Amiri Jeshi anagombezwa hadharani naye yupo hapo hapo

Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani?

Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto kwenye umakamu wa Rais.


Freedom of expression, mbona mleta mada haukuleta na jibu la Uhuru kwa huyu mzee Atwoli?., Uhuru alimjibu kwa kumkemea, wewe ni biased propagandist kama mlivyo,., this funeral was live. Cherry picking clips out of context to support a skewed head [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unapata tabu saana[emoji23][emoji23]
Ingekua ni Tz Atwoli angefunwa jela ama apigwe risasi. Kenya is the best, jieleze utakavyo.
 
Dah ila Kenya, Rais mbona kwao ni mtu wa kawaida sana? Huyo mzee anaongea na Rais utafikiri anatoa order kwa kibega wa stand, how are you lecturing the President? Kwanza tu namna unavyomtaja kama a mere houseboy 😅😅

Wenyewe hiyo wanasema ni demokrasia.
Lakini wakiibiwa hela za serikali hawamsemi hivyo 😛 🤣 😛
 
Back
Top Bottom