Tuchague kiongozi aliye kubalika na Mungu, kiongozi ambaye hatakandamiza wafanyakazi na NSSF

Bacore

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
222
Reaction score
228
Wafanya kazi tumekuwa tunateseka sana, maisha magumu, mishahara haipandi na bado wanavamia mifuko ya kijamii NSSF/PSSSF wanasema mpaka ufikishe miaka 55, huo ni onyonyaji, kodi za serikali zinakatwa PAYE, kwa kila mfanyakazi.

Lakini bado mnataka hadi NSSF/PSSSF, Huu ni uonezi, ubabe wa kimasikini, hebu tujalibu upande mwingine wananchi wa TZ, ukijitambua, utampa Tundu Lissu, hatuna sabau ya kuwapigia kura CCM, ndege na barabara ni wajibu wa serikali kufanya hivyo na kodi zetu zinatolewa huko.

Tunajuwa kutakuwa na uwizi wa kura, hilo lipo wazi, kwakuwa tumewachoka, hatuwaitaji, watu gani kidogo tuu, mabomu, kidogo tu, mauwaji, tumechoka, kula zote ni chadema,
 
We bwana wewe unakuwa kama haujielewi, hivi unajua sababu za kuwepo mifuko ya Hifadhi ya jamii? kama unajua basi usingepoteza muda wa kuwa unaandika unacho andika hapa, kwa uelewa wangu mdogo ipo hivi, lengo la kuanzishwa mifuko hii ni kuweza kusaidia wafanyakazi ikiwa na wewe upo pindi anapo fikia umri wake wa kustaafu aweze kuendelea kuishi vema kwa kupata pensheni yake, maana muda huo nguvu za kufanya kazi zinapungua sana hivyo hapa hakuna ukandamizaji wowote, usiwaharibie watu siku.
 
Hawa Chadema ni giza

Wabunge wao siyo wafanyakazi au wao hawazeeki?
 
Hivi huko upinzani huwa mnafundishwa ujinga nini...Nani kakwambia wabunge ni fao la uzeeni....wale wamemaliza mkataba wao na serikali wakitaka jiunga nssf hawakatazwi

Ni Magufuli peke mwenye hizo sifa

Wengine wametumwa na Mabeberu kuja kutuvuruga
Hakuna chama kinachokumbatia mabeberu Afrika kuliko CCM
543890.jpg
 
Hivi huko upinzani huwa mnafundishwa ujinga nini...Nani kakwambia wabunge ni fao la uzeeni....wale wamemaliza mkataba wao na serikali wakitaka jiunga nssf hawakatazwi
Mpuuzi kweli wewe, wafanyakazi wengine mikataba yao haiishi? una miaka 23 umepewa mkata wa miaka 2 baada ya miaaka 2 unakuwa na miaka 25 kwahiyo usubiri miaka 35 ijayo ndiyo upewe pesa yako?
 
Kijana mbona unaharaka na hela ya uzeeni Kama prodigal son...utakuja sumbua watoto wako ....utaratibu Ni dunia nzima....fao la uzeeni utapata uzeeni....sio mtaji wa biashara ule
 
Lissu, atatusimamia kwa Tanzania yenye furaha, si hii ya mkoloni mweusi.
 
Back
Top Bottom