Tuchambue haya majina ili kubakiwa na majina 10 ya wanaJF walioupiga mwingi humu 2024

Tuchambue haya majina ili kubakiwa na majina 10 ya wanaJF walioupiga mwingi humu 2024

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora.

1. MamaSamia2025
2. Pascal Mayalla
3. Lucas Mwashambwa
4. Tlaatlaah
5. Mbaga Jr
6. USSR
7. britanicca
8. chiembe
9. Erythrocyte
10. Mshana Jr
11. Mohamed Said
12. FaizaFoxy
13. GENTAMYCINE
14. Robert Heriel Mtibeli
15. Etwege
16. raraa reree
17. min -me
18. DeepPond
19. UMUGHAKA
20. @salary_slip

DR Mambo Jambo
 
Hapo GENTAMYCINE mtoe kabisa maana kalamba bans kibao za Maximelo; hana key-lean sheet huyo.

Halafu britanicca na wakili msomi Pascal Mayalla waandike mara mbili mbili hawa.

Of course bila kumsahau Mathanzua maana kwa conspiracy theory, hajambo kweli kweli. Japo mwishoni huwa zinageukaga kuwa ukweli fulani hivi.

Mwisho kabisa, lakini si kwa umuhimu, mwandike Miss Zomboko kwa sababu hapendi interactions zozote na members.

Akishatupia zile taarifa zake za Msumbuji, mara CDC, mara DRC, mara wapi wapi huko, utamwona yuleee kajituliza zake kama kasuku. Hapendi maneno.
 
Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora.

1. MamaSamia2025
2. Pascal Mayalla
3. Lucas Mwashambwa
4. Tlaatlaah
5. Mbaga Jr
6. USSR
7. britanicca
8. chiembe
9. Erythrocyte
10. Mshana Jr
11. Mohamed Said
12. FaizaFoxy
13. GENTAMYCINE
14. Robert Heriel Mtibeli
15. Etwege
16. raraa reree
17. min -me
18. DeepPond
19. UMUGHAKA
20. @salary_slip
ni kwa Neema na Baraka za Mungu haya yote yamefanyika kwa amani japo karama na vipawa havilingani.

shukrani za kipekee zimuendee mtoa hoja MamaSamia2025 kwa kutambua mchango wangu, na kuthamini jitihada za kizalendo za wote waliotajwa kwa uchache kwenye orodha hii ya walioupiga mwingi 2024.

zaidi sana,
members wote wa JF wapewe mau yao kwa namna ambavyo wamekua chachu ya hamasa kwenye majukwaa mbalimbali, binafsi nimeanufaika pakubwa na plafom hii kama kiongozi na bado niana nia na dhamira ya kujifunza na kuchota maarifa zaidi...

hata hivyo,
kwa umuhimu wa kipekee sana,
niwashukuru sana vingozi na wasimamizi wa JamiiForums kwa ujumla wao kwa namna ambavyo wametuguide na kuhakikisha wanasimamia hoja zenye maadili na mijadala inayozingatia vigezo na masharti ya kistaarabu.

aidha nampendekeza comrade MamaSamia2025 kama member muhimu alie upiga mwingi vilivyo kwa mwaka huu 2024 katika jukwaa hili la maana mno la siasa.

nawatakia nyote maandalizi mema sana ya Christmass in advance na heri ya mwaka mpya2025.

kumbukeni,
kama taifa, Oct.2025 tuna jambo letu kwa kipenzi cha waTanzania DR.Samia Suluhu Hassan. :BASED:

Mungu Ibariki Tanzanina
 
ni kwa Neema na Baraka za Mungu haya yote yamefanyika kwa amani japo karama na vipawa havlingani.

shukrani za kipekee zimuendee mtoa hoja MamaSamia2025 kwa kutambua mchango wangu, na kuthamini jitihada za kizaleondo za wote waliotajwa kwa uchache.

zaidi sana,
members wote wa JF wapewe mau yao kwa namna ambavyo wamekua chachu ya hamasa kwenye majukwaa mbalimbali, binafsi nimeanufaika pakubwa na plafom hii kama kiongozi na bado niana nia na dhamira ya kujifunza na kuchota maarifa zaidi...

hata hivyo,
kwa umuhimu wa kipekee sana,
niwashukuru sana vingozi na wasimamizi wa JamiiForums kwa ujumla wao kwa namna ambavyo wametuguide na kuhakikisha wanasimamia hoja zenye maadili na mijadala inayozingatia vigezo na masharti ya kistaarabu.

aidha nampendekeza comrade MamaSamia2025 kama member muhimu alie upiga mwingi vilivyo kwa mwaka huu 2025 katika jukwaa hili la maana mno la siasa.

nawatakia nyote maandalizi mema sana ya Christmass na mwaka mpya2025.

kumbukeni,
kama taifa, Oct.2025 tuna jambo letu kwa kipenzi cha waTanzania DR.Samia Suluhu Hassan. :BASED:

Mungu Ibariki Tanzanina
Baada ya kukuona kwenye list nkajua tayari ni trash!! Takataka za chooni kabisa
 
Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora.

1. MamaSamia2025
2. Pascal Mayalla
3. Lucas Mwashambwa
4. Tlaatlaah
5. Mbaga Jr
6. USSR
7. britanicca
8. chiembe
9. Erythrocyte
10. Mshana Jr
11. Mohamed Said
12. FaizaFoxy
13. GENTAMYCINE
14. Robert Heriel Mtibeli
15. Etwege
16. raraa reree
17. min -me
18. DeepPond
19. UMUGHAKA
20. @salary_slip
Sasa mbona hao wote nimewazidi akili mbali sana 😛😛 nilikuwa kwenye ban ila nilijitahidi nilifanikiwa kuvuka week mbili bila ya BAN nipongezwe ...sijui safari hii kama nitavuka siku 3
 
Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora.

1. MamaSamia2025
2. Pascal Mayalla
3. Lucas Mwashambwa
4. Tlaatlaah
5. Mbaga Jr
6. USSR
7. britanicca
8. chiembe
9. Erythrocyte
10. Mshana Jr
11. Mohamed Said
12. FaizaFoxy
13. GENTAMYCINE
14. Robert Heriel Mtibeli
15. Etwege
16. raraa reree
17. min -me
18. DeepPond
19. UMUGHAKA
20. @salary_slip
2,,6,7,9,10 na 13
 
Huo ni mtazamo wako.

Mtazamo wa JF ni uwazi na weledi.
 
Back
Top Bottom