Tuchambue haya majina ili kubakiwa na majina 10 ya wanaJF walioupiga mwingi humu 2024

Tuchambue haya majina ili kubakiwa na majina 10 ya wanaJF walioupiga mwingi humu 2024

Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora.

1. MamaSamia2025
2. Pascal Mayalla
3. Lucas Mwashambwa
4. Tlaatlaah
5. Mbaga Jr
6. USSR
7. britanicca
8. chiembe
9. Erythrocyte
10. Mshana Jr
11. Mohamed Said
12. FaizaFoxy
13. GENTAMYCINE
14. Robert Heriel Mtibeli
15. Etwege
16. raraa reree
17. min -me
18. DeepPond
19. UMUGHAKA
20. johnthebaptist
Huyo namba moja Hana lolote alilo lifanya.

AKIBA YA MANENO.

SIKU ZOTEEE YAAN USIJIWEKE KIMBELE MBELE ACHA WATU WAKU MENTION🤣🤣😂😂😂
 
Back
Top Bottom