Tuchambue haya majina ili kubakiwa na majina 10 ya wanaJF walioupiga mwingi humu 2024

Tuchambue haya majina ili kubakiwa na majina 10 ya wanaJF walioupiga mwingi humu 2024

Umughaka mwaka huu amefanya nini? Huyu 2023 ndio alikuwa na mambo mengi, deepond na mama J nadhani ni 2023,
Mtibeli amefanya vyema na tuzo alipewa na max.
Chawa lucas anaonekana anafanya ujinga lakini yupo kimkakati, " faida ipo mama hana choyo". Na machawa wengine wa kisiasa wote CCM na CHADEMA .
 
Back
Top Bottom