Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
…mji wa saba nchini Brazil 🇧🇷, Manaus, ulipoishia, kuupisha msitu wa Amazon…
Wenzenu wanaheshimu misitu yao… Sio Ukimani, mnaojenga ovyo ovyo tu…
Siku moja nipo Mikumi, nikasema wacha nipige misele kidogo… Nikaenda nafuatilia makazi ya watu… Bila kujua, nikajikuta tayari nipo mbugani…
Kilichonifanya nigundue kuwa nipo mbugani, ni pale nilipokutana uso kwa uso na nyati 🦬… Nikajua ni ng’ombe… 😱
Nikajiuliza: 💬 “huyu ng’ombe 🐄 mbona mkubwa sana halafu mweusi”? 🤔
Kumbe hakuwa ng’ombe buana!… Nilitoka hapo nduki, msuli wangu na sendoz vikabaki hapo mbugani 🏃🏾♂️ 🥵
Ukimani takataka sana yaani!… 🚮🚮🚮