Tucheke na mama zetu leo

Yeah ni kweli mama zetu waliotulea kipindi hiko walitupatia ulinzi na misingi mizuri ya maisha , tofauti na wa mama wa kizazi hiki ndio sababu kumeibuka vijana wa ovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujalala mchana harafu unasinzia usiku utaamshwa kwa maji ya baridi.. Ama kweli mama zetu wa kipindi hicho walijua wajibu wao kwa watoto

Send from Nokia batani
 
Haahaaa hii Kali! Mvumile anakupunguza unzinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhuuuu jipi jemaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale unapoagizwa/kutumwa sehemu harafu yeye anatema mate chini....... ha ha hahaaa!! hapo huhitaji elimu ya darasa la 3 kujua nini kinaendelea!!

Ni mwendo wa mbio tu, olewako urudi ukute yale mate yamekauka pale chini!!
Dah!!!sisi watoto wa zamani tulikuwa watiifu sana hata kwa mambo hayawezekani.
kuna siku nilijaribu hili zoezi kwa mtoto wangu lkn nilifeli kwa maswali niliyopata.
1.aliuliza kwa sababu gani?
nikamjibu ili uende haraka na urudi haraka.
2.kwani mama mate huwa yanakauza muda gani?
nikamjibu baada ya dakika 10.
Akasema mama siyo mbona mimi nikitema mate yanakauka saa hiyohiyo.

Alienda nilikomtuma lkn siyo kwa masharti ya kutema mate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukojoe kitandani sasa mtaa wote watajua jinsi utavyotolewa nje na wimbo wa kikojozi na kaitia moto kundumbwe ndumbwe chalia.yaani hawa mama zetu walikuwa wakali mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kinapotea ndani mpka yeye adhibitishe kuwa kweli hakionekani na kitakuwa kweli kimeptotea
atainua hadi vitanda
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesoma uzi wote nimecheka mpaka basi maana naona yote yaliyosemwa ma yangu alikuwa naye nayo

mungu amponye

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Reactions: cdc
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duuurr umenikumbusha mbali xana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] anakupa kipigo heavy ukilia anakuliza unalia nini paaa paaa kipigo paaa funga kinywa
 
Umeonae lkn mitot ya siku hiz hata wazazi wa kizazi hiki wamesahau kutumia hii ishar ya jicho
Hii huwa inabore sana unakuta mtoto anafanya mambo ya kijinga mbele ya wageni na mzazi wake anaona sawa tuu wala hamkemei mtoto eti madai yao wanawapenda watoto wao ndio maana watoto wanawazalilisha mbele za watu hayo ni malezi ya kipuuzi mno.
 
Hujalala mchana harafu unasinzia usiku utaamshwa kwa maji ya baridi.. Ama kweli mama zetu wa kipindi hicho walijua wajibu wao kwa watoto

Send from Nokia batani
Daah hii ya kulala mchana ilikuwa adhabu kubwa sana kwangu, mbaya zaidi unaskia sauti za wenzio wanacheza kwa mbali hakuna namna lazima ulale basi utabinya jicho moja mpaka utapitiwa na usingiz, pongezi kwa wamama wote wa kipindi hicho.
 
Reactions: cdc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…