Hili suala aliwahi Sema pia guadiola,Anavyocheza Madrid ni kama Al Ahly tu huwezi kudhani wanaenda kufunga goli.
bora al ahily wanatabirika kwenye move unaona kbs wanafosi wanataka kitu.Anavyocheza Madrid ni kama Al Ahly tu huwezi kudhani wanaenda kufunga goli.
kama kwa mazembe jana kwa mpira ule ungetegemea waondoke na goli tatu?Wakiwa Cairo ndo huwa wanaonekana kufosi, ila game za away, wanafunga goli za kushtukiza sana
Madrid the King of Come back!Anasema kocha wa BAYERN MUNICH, Thomas Tuchel
"Nmeiangalia Real. Madrid na wachambuz wangu. Ukiyachunguza sana magoli Yao au nafasi zao, na ukarejesha sekunde 10 nyuma, Huwezi kuona Kama wanakuja, huwez kuona dalili yoyote ya goli.
Kila kitu kinaonekana Kiko sawa, Kisha ukitulia sekunde 5 mbele , utashangaa goli Hili apa"
View attachment 2975287
Niliona clip Twitter / X ikionesha Guardiola kawekeza kwenye Tactics halafu Ancelotti kawekeza kwenye Lucky.Hili suala aliwahi Sema pia guadiola,
"Anceloti haeleweki anacheza formation gani, sikutarajia first leg vinicius kucheza Central striker namba 9"
Pia pale Etihad baada ya kutolewa akasema pia,
" Sikutegemea touchmen kucheza CB au camavinga angecheza LB"
Nasikia raha mnavyomuelezea mzee wangu 'Don' Carloo π. Toka enzi za AC Milan ananikosha sana. Watasubiri sana kwake.Don carlo Ndio yupo ivo anakuacha ucheze afu yeye anachagua moment chache tu za kukshambulia kweny counter attack ukizubaa tu anakuta awapa Golini kwako ana wachezaji wana uwezo mkubwa sana wakucheza long pass mfano Toni ana uwezo wakupiga pass ndefu kwa usahihi mkubwa sana
Wew unayepigiwa mpira kazi yake ni kuzima tu ila ulipo mpira lazima ukufkie afu wale vijana wanao cheza kweny eneo la ushambuliaji Vin na Rodrygo wanaspeed sana kiufupi Duniani Carlo ndio master wa kucheza kweny Counter Attack hakuna ata kocha mmoja anayemkaribia
na wew vizia kama ni rahisi kwaz wew si umetolewa na ao ao wavizaji saizi umerudi kucheza makombe yako ya Mbuzi na Chelseiiiii sjuiiiMadrid Hana mpira wowote ...
Ni swala la muda tu ...
Mpira WA kuvizia hauwezi kukupa CL
Don carlo ile ni sumu ya kipara mara tatu unatolewa na mtu mmoja kwenye champions leauge tena kweny stage muhimu tu.Nasikia raha mnavyomuelezea mzee wangu 'Don' Carloo π. Toka enzi za AC Milan ananikosha sana. Watasubiri sana kwake
Madrid Hii kila mchezaj anajua kukaba, imagine Bellingham na rodgygo walivokua wanakabba pale Etihad.Siku zote naamini katika filosofia ya kubadili namba wachezaji walau mazoezini na baadhi hata katika mechi. Hii inawasaidia kuacha kucheza kwa mazoea na badala yake kuumiza mafuvu yao wanapokuwa uwanjani.
Kama kocha katika mazoezi ningekuwa nafanya zoezi moja la kuwahamisha washambuliaji wawe mabeki na vice versa. Hii inamsaidia mshambuliaji aweze kufikiri kama beki ili ajue jinsi ya kumshinda beki kimbinu anapokuwa katika mechi, na mabeki hivyo hivyo.