Tuchel aizungumzia Real Madrid kuelekea Nusu fainali ya UEFA

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Anasema kocha wa BAYERN MUNICH, Thomas Tuchel

"Nmeiangalia Real. Madrid na wachambuz wangu. Ukiyachunguza sana magoli Yao au nafasi zao, na ukarejesha sekunde 10 nyuma, Huwezi kuona Kama wanakuja, huwez kuona dalili yoyote ya goli.

Kila kitu kinaonekana Kiko sawa, Kisha ukitulia sekunde 5 mbele , utashangaa goli Hili apa"

Screenshot_20240427-144948.png
 
Ukiyasoma Maneno ya Tuchel,

Kuna ukwel ndani yake, Rejeahaya magoli.

1. Goli la valverde dhidi ya mancity
2. Goli la Vazquez dhidi ya Barcelona
3. Goli la camavinga dhidi ya mancity

Pia rejea goli la mechi ya Jana
👉arder guler dhidi ya real sociedad
 
Anavyocheza Madrid ni kama Al Ahly tu huwezi kudhani wanaenda kufunga goli.
Hili suala aliwahi Sema pia guadiola,
"Anceloti haeleweki anacheza formation gani, sikutarajia first leg vinicius kucheza Central striker namba 9"

Pia pale Etihad baada ya kutolewa akasema pia,
" Sikutegemea touchmen kucheza CB au camavinga angecheza LB"
 
Don carlo Ndio yupo ivo anakuacha ucheze afu yeye anachagua moment chache tu za kukshambulia kweny counter attack ukizubaa tu unakuta awapa Golini kwako ana wachezaji wana uwezo mkubwa sana wakucheza long pass mfano Toni ana uwezo wakupiga pass ndefu kwa usahihi mkubwa sana

Wew unayepigiwa mpira kazi yake ni kuzima tu ila ulipo mpira lazima ukufkie afu wale vijana wanao cheza kweny eneo la ushambuliaji Vin na Rodrygo wanaspeed sana kiufupi Duniani Carlo ndio master wa kucheza kweny Counter Attack hakuna ata kocha mmoja anayemkaribia
 
Anasema kocha wa BAYERN MUNICH, Thomas Tuchel
"Nmeiangalia Real. Madrid na wachambuz wangu. Ukiyachunguza sana magoli Yao au nafasi zao, na ukarejesha sekunde 10 nyuma, Huwezi kuona Kama wanakuja, huwez kuona dalili yoyote ya goli.
Kila kitu kinaonekana Kiko sawa, Kisha ukitulia sekunde 5 mbele , utashangaa goli Hili apa"

View attachment 2975287
Madrid the King of Come back!

Tuchel bado anaugulia maumivu ya kutolewa kwa aggregate ya 5 - 4 pale Bernabeu kwenye 2nd League akiwa na Chelsea baada ya kushinda kwa 3 - 2.
 
Hili suala aliwahi Sema pia guadiola,
"Anceloti haeleweki anacheza formation gani, sikutarajia first leg vinicius kucheza Central striker namba 9"

Pia pale Etihad baada ya kutolewa akasema pia,
" Sikutegemea touchmen kucheza CB au camavinga angecheza LB"
Niliona clip Twitter / X ikionesha Guardiola kawekeza kwenye Tactics halafu Ancelotti kawekeza kwenye Lucky.

Hapo Ancelotti huwezi kumtabiri
 
Don carlo Ndio yupo ivo anakuacha ucheze afu yeye anachagua moment chache tu za kukshambulia kweny counter attack ukizubaa tu anakuta awapa Golini kwako ana wachezaji wana uwezo mkubwa sana wakucheza long pass mfano Toni ana uwezo wakupiga pass ndefu kwa usahihi mkubwa sana

Wew unayepigiwa mpira kazi yake ni kuzima tu ila ulipo mpira lazima ukufkie afu wale vijana wanao cheza kweny eneo la ushambuliaji Vin na Rodrygo wanaspeed sana kiufupi Duniani Carlo ndio master wa kucheza kweny Counter Attack hakuna ata kocha mmoja anayemkaribia
Nasikia raha mnavyomuelezea mzee wangu 'Don' Carloo 😍. Toka enzi za AC Milan ananikosha sana. Watasubiri sana kwake.
 
Siku zote naamini katika filosofia ya kubadili namba wachezaji walau mazoezini na baadhi hata katika mechi. Hii inawasaidia kuacha kucheza kwa mazoea na badala yake kuumiza mafuvu yao wanapokuwa uwanjani.

Kama kocha katika mazoezi ningekuwa nafanya zoezi moja la kuwahamisha washambuliaji wawe mabeki na vice versa. Hii inamsaidia mshambuliaji aweze kufikiri kama beki ili ajue jinsi ya kumshinda beki kimbinu anapokuwa katika mechi, na mabeki hivyo hivyo.
 
Madrid Hii kila mchezaj anajua kukaba, imagine Bellingham na rodgygo walivokua wanakabba pale Etihad.
 
Back
Top Bottom