Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hesabu mie zilinishidaπ€£ hesabu nazijua aise, nafundisha hesabu darasa la sita ππ π§π§
Nasubiri jibu la hili wakuuTujaribu na hii
View attachment 3228162
Hizo ni hesabu za Ali Makundi Kamdomo wa UTO. Wanasoka wamenielewa5 + 10 = A + 7
B + A = 3 + 9
B - C = 10 - A
A=8 , B=4 , C=2
5 + 10 = 8 + 7
4 + 8 = 3 + 9
4 - 2 = 10 - 8
hivyo,
A + B + C=?
8 + 4 + 2=14
Mkuu Kiranga kwa heshima yako naomba nisaidie hii hapaπββοΈTujaribu na hii
View attachment 3228162
Mkuu Kiranga kwa heshima yako naomba nisaidie hii hapaπββοΈ
Sawa mkuu japo mie nlikuwa nazungumzia hiyo ya kuremove stick ( kwenye post nliyokuquote, .maana hakuna aliyejibu )Nomadix Kamaliza #10.
Ukitaka heshima weka hesabu za heshima za ku solve.
Hebu angalia hapa kwanza.
![]()
10 World's Hardest Math Problems With Solutions and Examples
Dive into the world's most challenging math problems. Explore solutions and examples that unravel intricate mathematical mysteries.mp.moonpreneur.com
Something went wrong in your head
Hizo za kujumlisha tu zinaumiza watu vichwa humuNomadix Kamaliza #10.
Ukitaka heshima weka hesabu za heshima za ku solve.
Hebu angalia hapa kwanza.
![]()
10 World's Hardest Math Problems With Solutions and Examples
Dive into the world's most challenging math problems. Explore solutions and examples that unravel intricate mathematical mysteries.mp.moonpreneur.com
ππβοΈπ€solution:
let;πΊ = X
π¦ = Y
π‘ = Z
equation ya kwanza
5 + 10 = X + 7
X + 7 = 15
X = 15 - 7
X = 8
equation ya pili
Y + X = 3 + 9
Y + X = 12
( X = 8 )
Y + 8 = 12
Y = 12 - 8
Y = 4
equation ya tatu
y - Z = 10 - X
( X = 4, Y = 4 )
4- Z = 10- 8
4 - Z = 2
-Z = 2 - 4
-Z = -2
Z = 2
( X = 8, Y = 4, Z = 2 )
π‘ +πΊ + π¦ = Z + X + Y
= 2 + 8 + 4
= 14
Kwaiyo:
π‘ + πΊ + π¦ = 14